Huu ndiyo muonekano wa kijana wangu

View attachment 1505558
Hii picha ni ya mitandao lakini huu ndiyo nuonekano wa kijana wangu wa miaka 19.
Mkuu sijajua hapa unaomba ushauri, unamnadi ama unahamasisha na wengine vijana wetu wafuate nyayo zake! bIla all in all kwa Afrika hapana, tukiruhusu huu utandawazi bila angalizo na vile vichwa vyetu visivyo na chujio basi tutaraji mambo mbali mbali!
 
Ukiangalia picha yako kwenye Avatar na huyo kijana mmefanana kinoma, He is really your son. Pole sana kukutwa na msiba huo.

Ila uwe makini kwa jinsi ulivyo mu expose in this way, Auntie, bila shaka "unalo hilo"--- anaweza asikuache kwani he is grown-up and he deserve his privacy.
Acha ushamba ,kwenye avatar ya Sky huyo ni Oprah Winfrey
 
Back
Top Bottom