Huu ndiyo muonekano wa Arusha Mpya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Sehemu ya Miundombinu itakayojengwa Mjini Arusha!

Aqj3J6UX7xbKp69JUur7zMzOZdbSzgDCbbdNu9RdVp8N.jpg

AiiCp8LQv53srjf3oou55L02KntOIX3bQbRNjljlxUBh.jpg

HAPA KAZI TU!
 
Safi sana. Arusha endeleeni kuikataa CCM hadi itapofikia hadhi sawa na Dubai. Arusha bila CCM inawezekana.
 
Ni kweli ni, kabisa kukubaliana

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Nadhani gharama za hilo jukwaa ni sawa na kujenga KM 1 ya lami
 
Safi sana. Arusha endeleeni kuikataa CCM hadi itapofikia hadhi sawa na Dubai. Arusha bila CCM inawezekana.
SIASA KILA WAKATI.
UKIITOA SERENGETI(MARA),TANZANITE(MANYARA),KILIMANJARO(KILIMANJARO),EAC,MAHAKAMA YA EAC ARUSHA WANABAKI NA BANGI TU NA MIRUGI
MNAJIFANYA HARAKATI NYINGI ZA KIBAGUZI WAKATI NINYI NDO WAZRURAJI WAKUBWA KWENYE MIJI YA WATU.SIKU WATU WAKIWASHTUKIA MTALIA NA KUSAGA MENO.LIANZISHENI TU.
 
Lini hiyo mkuu, naona pia 'utajengwa' mlima Fuji kama hiyo picha inavyoonyesha kwenye background!
 
SIASA KILA WAKATI.
UKIITOA SERENGETI(MARA),TANZANITE(MANYARA),KILIMANJARO(KILIMANJARO),EAC,MAHAKAMA YA EAC ARUSHA WANABAKI NA BANGI TU NA MIRUGI
MNAJIFANYA HARAKATI NYINGI ZA KIBAGUZI WAKATI NINYI NDO WAZRURAJI WAKUBWA KWENYE MIJI YA WATU.SIKU WATU WAKIWASHTUKIA MTALIA NA KUSAGA MENO.LIANZISHENI TU.
Teh teh teh...
 
Ccm inaendelea kusimamia ilani yake ya uchaguzi bila kujali itikadi za RAIA wake ilimradi sote ni RAIA tuna haki sawa. Kazi nzuri Magu ya kusimamia utekelezaji wa ilani ya chama.
 
Back
Top Bottom