Huu ndiyo muda wa kumjadili,'kumsema' na kumkosoa Dr. John Pombe Magufuli

Mgombea wako na nani ? Acha kujioendekeza kwangu sikujui

Kwa hiyo unakikana chama chako cha mapinduzi, au? Nyinyi watu wa ccm mkoje kwani! mbona hamjielewi? Mimi nijipendekeze kwako ili iweje? Nigeuke na mimi kuwa msukule wa lumumba?
 
Magufuli kafanya mema mengi sana.kama unamacho utaona na kama unamasikio ushasikia tyr.
Ni vema Magu akapiga mpaka 2035 kwa faida ya taifa.
 
Mi siwezi kumsema vibaya japo nami kuna sehemu niliumizwa lakini siwezi msema.

Hao marais waliotangulia awamu tatu wangesimamia uchumi wa nchi hii kama Rais Magufuli tungekuwa na tz nyingine.

Hapa ninapoishi huku ni mashambani awamu hii ndo tumepata maji na umeme. Awamu zote zimekatisha bila bila.

Hata yule EL niliyempigia kura asingeifikisha tz hapa

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
 
Kwa hiyo unakikana chama chako cha mapinduzi, au? Nyinyi watu wa ccm mkoje kwani! mbona hamjielewi? Mimi nijipendekeze kwako ili iweje? Nigeuke na mimi kuwa msukule wa lumumba?
Wewe ni chama cha mapinduzi mimi na wewe lini tulikuwa wote wanachama ?
Usipende kuzoea wanaume wa watu
 
Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa.

Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa Dr. Magufuli. Huu ndiyo muda wa kumjadili, kumsema na kumkosoa mgombea wetu mtarajiwa.

Pamoja na filamu kalikali zilizotapakaa kilamahali nchini kuwa Dr. Magufuli anapendwa na kila mtanzania, hali huku 'site' iko tofauti. Wapo waliorudishwa nyuma kimaisha kutokana na uongozi wa Rais Magufuli.

Wapo waliosonga mbele na kuneemeka kwenye uchaguzi huu. Wapo waliobaki vilevile na yaleyale waliyokuwa nayo tangu kwa Kikwete. Wapo wanaoufurahia utawala huu na wapo wanaouponda na kuuchukia. Mjadala unaanzia hapo.

Kama mgombea wetu chamani na uchaguzini, tuna haki na wajibu wa kumkosoa na kumjadili. Kwa mema na mabaya. Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya vyema kwenye nidhamu katika utumishi wa umma na ujenzi wa miundombinu. Amefanya pia vyema kwenye sera za kulinda malighafi na maliasili za nchi hii kwa ajili ya manufaa ya nchi yetu.

Hakufanya vyema kwenye masuala ya utawala wa kisheria na demokrasia. Pia, hakufanya vyema kwenye kuhodhi mfuko mkuu wa taifa na yeye kubaki ndiye mtoaji/mgawaji wa pesa za kinchi pekee.

Nitampima chamani kwa mambo hayo. Nitampima uchaguzi kwa mambo hayo. Kura ni haki yangu, nitaitumia bila kusita.

Membe hakufukuzwa CCM kisheria na kihalali, kwanini asipewe fomu ya Urais?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dodoma
Hapendwi na kila mtanzania
 
Magufuli kafanya mema mengi sana.kama unamacho utaona na kama unamasikio ushasikia tyr.
Ni vema Magu akapiga mpaka 2035 kwa faida ya taifa.

Wanaofanya mema ni wale wanaojitolea, na sio wanaolipwa mshahara. Tenganisha mema na wajibu.
 
Wewe ni chama cha mapinduzi mimi na wewe lini tulikuwa wote wanachama ?
Usipende kuzoea wanaume wa watu

Ungekua mwanaume wewe ungelamba miguu ya mwanaume mwenzako? Huna tofauti na yule Maria Magdalena wa kwenye Biblia.
 
Maadama hakuna uwazi awamu hii,nakushauri usiamini kwa asilimia 100 kuwa amelinda maliasili za nchi hii.

Kuhusu utumishi wa umma,hakuna nidhamu yoyote iliyojengwa zaidi ya watu kujaa hofu(nidhamu ya woga).
Karibia aumbuke akitorosha dhahabu kule mwanza, wale manjagu walisamehewa ati!

Anakula 10% kwenye bombardier, sgr, na ztiglers
 
Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata Mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa.

Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa Dr. Magufuli. Huu ndiyo muda wa kumjadili, kumsema na kumkosoa Mgombea wetu mtarajiwa.

Pamoja na filamu kalikali zilizotapakaa kilamahali nchini kuwa Dr. Magufuli anapendwa na kila Mtanzania, hali huku 'site' iko tofauti. Wapo waliorudishwa nyuma kimaisha kutokana na uongozi wa Rais Magufuli.

Wapo waliosonga mbele na kuneemeka kwenye uchaguzi huu. Wapo waliobaki vilevile na yaleyale waliyokuwa nayo tangu kwa Kikwete. Wapo wanaoufurahia utawala huu na wapo wanaouponda na kuuchukia. Mjadala unaanzia hapo.

Kama mgombea wetu chamani na uchaguzini, tuna haki na wajibu wa kumkosoa na kumjadili. Kwa mema na mabaya. Kwangu mimi Rais Magufuli amefanya vyema kwenye nidhamu katika utumishi wa umma na ujenzi wa miundombinu. Amefanya pia vyema kwenye sera za kulinda malighafi na maliasili za nchi hii kwa ajili ya manufaa ya nchi yetu.

Hakufanya vyema kwenye masuala ya utawala wa kisheria na demokrasia. Pia, hakufanya vyema kwenye kuhodhi mfuko mkuu wa taifa na yeye kubaki ndiye mtoaji/ mgawaji wa pesa za kinchi pekee.

Nitampima chamani kwa mambo hayo. Nitampima uchaguzi kwa mambo hayo. Kura ni haki yangu, nitaitumia bila kusita.

Membe hakufukuzwa CCM kisheria na kihalali, kwanini asipewe fomu ya Urais?

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dodoma
Hakika watanzania mmepata dikteta safari hii mtapata shida sana. Mnatawaliwa na propaganda na mambo mengi yanafichwa kama takwimu za corona vile.
 
Mi siwezi kumsema vibaya japo nami kuna sehemu niliumizwa lakini siwezi msema.

Hao marais waliotangulia awamu tatu wangesimamia uchumi wa nchi hii kama Rais Magufuli tungekuwa na tz nyingine.

Hapa ninapoishi huku ni mashambani awamu hii ndo tumepata maji na umeme. Awamu zote zimekatisha bila bila.

Hata yule EL niliyempigia kura asingeifikisha tz hapa

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Umesema yote Mamndenyi sina la kuongeza mae
 
Back
Top Bottom