Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

Wala sishangai kwa kauli zenu Pro-Chadema JF hauna matusi mapya? Mbona una matusi ya kizamani sana njoo na matusi mapya tukusome.

Turudi kwenye mada huyu jamaa ndiyo mtaji wenu mpya wa siasa daaah.
Dogo wewe ni uzao wa panya ingelipendeza tu ukaamua kunyamaza ule mema ya mama tanzania kutu chokoa chokoa tutamwaga mtama mbere ya kuku wengi piga kimyaa
 
We jamaa nakuona una data sana, sasa watu kama nyie ndio tunawataka kwenye one to one tuone inakuaje Kati ya CCM Smart vs Upinzani Smart pachimbike

Mkuu karibu sana kwenye uwanja wa hoja. Ila ufahamu tatizo la chama chenu kwa sasa sio hoja pekee, bali ni wakati. Ccm sio chama cha kizazi hiki bali ni cha kizazi kilichopita. Hivyo haya matumizi ya nguvu na Siasa za aibu zitaendelea ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Mfano mrahisi, miziki ya Sikinde na Ottu jazz ni mizuri na ina maadili, lakini haina mashabiki kwa sasa kwakuwa sio ya kizazi hiki. Vijana wa sasa ambao ndio wengi, wanapenda miziki yao inayoonekana haina maadili, na sio ya Ottu jazz tunayosema ina maadili.

Nikushauri, washauri na wanaccm wenzako, sio kwamba ccm inafanya vibaya sana, na kuwa kikiingia chama kingine ni lazima kifanye vizuri kuliko ccm, lakini wakati ni ukuta. Namna nzuri ya ccm kuweza kwenda na wakati, ni kukubali matokeo ili ibadilike kuendana na wakati. Kinyume na hapo ccm itaendelea kutumia mbinu zilezile kama za Magufuli kupora chaguzi kwa mauaji, kuteka watu, kura za kwenye mabeg nk. Lakini mbinu hizo zitafikia mahali zitaleta machafuko tu.
 
Nipe tofauti ya hiyo kauli ya Mdude na ile kauli ya kiongozi dhalimu wa ccm kuwa watu wabaki na mavi yao nyumbani. Mbona hakujitokeza na kulaani kauli ile?
tofauti ni ukweli wa kauli.

wewe kuambiwa hakikisha umekunya nyumbani kwako,ni ukweli unaotakiwa kuufanyia kazi ili kuepuka usumbufu na ghalama zisizo na ulazima,yeye kusema kuna mtangulizi amenyoa na wakati yeye ndiye alinyolewa ni uongo.
 
Hiyo ni lugha ya staha kutolewa na kiongozi wa level ya urais hadharani?
 
View attachment 1839092
Wanabodi

Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni.

Huyu jamaa Chadema wamemtoa wapi sijui sasa hivi ndiyo mtaji wao wa kisiasa kuelekea kuchukuwa dola na kupata katiba mpya, wakati yupo jela nilidhani mtu mmoja makini sana mwenye ushawishi kwa jamii kumbe hali yale ndiyo hiyo.

Cha kushangaza anaongea pumba wafuasi wa Chadema wanamshangilia masikini daaah huyu jamaa Chadema wanamtegemea kuwa mlithi wa Mbowe.
Mdude sio mtu wa kujenga hoja, hana kipawa na elimu hiyo. Ni mtu jasiri wa kupayuka lile analoona ni jema kwa upeo wake. Inawezekana serikali na mamlaka zimeona aina ya siasa na harakati za mdude hazina madhara ndio maana wakamuachia huru.
 
Dogo tindo siku hizi umejawa povu badala ya hoja
Mkuu karibu sana kwenye uwanja wa hoja. Ila ufahamu tatizo la chama chenu kwa sasa sio hoja pekee, bali ni wakati. Ccm sio chama cha kizazi hiki bali ni cha kizazi kilichopita. Hivyo haya matumizi ya nguvu na Siasa za aibu zitaendelea ili ccm iendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Mfano mrahisi, miziki ya Sikinde na Ottu jazz ni mizuri na ina maadili, lakini haina mashabiki kwa sasa kwakuwa sio ya kizazi hiki. Vijana wa sasa ambao ndio wengi, wanapenda miziki yao inayoonekana haina maadili, na sio ya Ottu jazz tunayosema ina maadili.

Nikushauri, washauri na wanaccm wenzako, sio kwamba ccm inafanya vibaya sana, na kuwa kikiingia chama kingine ni lazima kifanye vizuri kuliko ccm, lakini wakati ni ukuta. Namna nzuri ya ccm kuweza kwenda na wakati, ni kukubali matokeo ili ibadilike kuendana na wakati. Kinyume na hapo ccm itaendelea kutumia mbinu zilezile kama za Magufuli kupora chaguzi kwa mauaji, kuteka watu, kura za kwenye mabeg nk. Lakini mbinu hizo zitafikia mahali zitaleta machafuko tu.
 
Huyo jamaa ni dhahiri hayuko vizuri! Akili zake kwa sasa ni sawa na za wanaccm wengi akina Sabaya, Heri, Jingalao, johnthebaptist na wengine!
Kama tunawaelewa hao nilowataja basi na yeye Mdude aachwe tu!
Ukiona siku ccm wanakusifia una siasa safi ujue umekwisha, Mdude pambana tinanajua hakuna mwana ccm mwenye ujasiri ulionao hata chembe
 
Mdude sio mtu wa kujenga hoja, hana kipawa na elimu hiyo. Ni mtu jasiri wa kupayuka lile analoona ni jema kwa upeo wake. Inawezekana serikali na mamlaka zimeona aina ya siasa na harakati za mdude hazina madhara ndio maana wakamuachia huru.
Kumbe hahahaa ukiona kawashika pabaya
 
Mkuu umesahau hivi majuzi kuna kiongozi aliyekuwa Mkuu wa nchi aliyesema watu wabaki na mavi yao nyumbani? Umesahau kuwa kiongozi huyo mkubwa kabisa wa ccm na nchi kwenye mkutano wa hadhara alisema kuna mtu titi lake limefanana na barakoa?
CCM hawanaga akili, na yule mkuu wa wilaya alisema ataminya korodani
 
Huyu Mdude anasaidia sana kuonyesha taswira halisi ya viongozi wa Chadema.
 
Kizazi cha uongozi wa Chadema wa kitaifa kikiongozwa na Mbowe kikiondoka kizazi kitakachoingia uongozini ni cha kina Mduda na wenzake hawa si watakuwa kama indarahamwe; hawa lazima watakuwa kama Joseph kony, hiki kizazi kitaingiza nchi kwenye vita vibaya sana wakipewa madaraka.
 
Back
Top Bottom