mental problem. umeelewa mada?Mtu analamika kalala na njaa vodacom kwann baba ako?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mtu analamika kalala na njaa vodacom kwann baba ako?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mental problem. umeelewa mada?
Mqmbo mengine huwa nashindwa kuelewa mnalalamika nini...hama hamia mtandao mwngne....
kuna mdau kanidokeza ati wanarekebisha viwango vya kukata hela ili kuongeza ushindani, nashindwa kuelewa connection ya kupunguza makato na kutopatikana huduma ya mpesa siku 3, ama tunaelekea kwenye DESI ya pili nini?
Hayo matatzo yapotu! hupaswi kulaumu kwani wao wanataka?
kwa kweli njia rahisi hapa nikuwa na zaidi ya line moja na kuwa na angalau pesa kidgo kwenye account ya hizo line ili unapo kwama moja una hamia nyingine koz hii mitandao haiaminiki sio huduma za kupiga simu mara igome mara wakate hela nyingi kero tupu, i think simple solution kwa hali yetu TZ ni kuwa na zaidi ya line moja una switch tu according tu situation uliopo.Mpesa balaa. Tumeshindwa hapa kupata kinywaji. Wahusika hata hawajitokezi kuomba radhi. Shida sana.