Huu ndio uzuri wa mheshimiwa Pombe Magufuli

leah2

JF-Expert Member
Nov 15, 2015
584
1,437
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,

Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.

Na wewe jazia mazuri alioyafanya.

Kumbuka hapa tunazungumzia mema tu.

Nawasilisha.
 
Hakuna! Uliyoyataja hujayafanyia research, go deeper outlinig merits and demerits before giving credit. umekurupuka kuandika na mapenzi ya NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,

Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.

Na wewe jazia mazuri alioyafanya.

Kumbuka hapa tunazungumzia mema tu.

Nawasilisha.
Hiyo ya nne na ya nane kuna kaukakasi kidogo. Ila hayo mengine hata mimi nampa 85% my President.
 
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,

Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.

Na wewe jazia mazuri alioyafanya.

Kumbuka hapa tunazungumzia mema tu.

Nawasilisha.
Mema hayo yanamtosha, tunataka uandike na mabaya vile vile ili tupime. Mie kwangu mabaya ni machache sema ni mazito kweli kweli
 
staki kuamini kuwa uwezo wako Wa kufikiri umeishia hapo, na kama kweli uwezo wako umeishia hapo basi Tanzania ya majanga badala ya viwanda inakuja.

by the way, naona kuna nafasi ya ukurugenzi unaisotea maama soon mkurugenzi mmoja atatenguliwa kaza mwendo unaweza kuupata, anzisha Uzi mwingine.

usisahau kumtaja lowasa hili Uzi upate wachangiaji wengi
 
Kwa elimu gani aliyoboresha?! Au hyo kukatazaa watu kuvaa majoho. Elimu imezidi kudorora. Yaaan kama ilikua mbovu sahivi imekua mbovu zaidi.
 
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,

Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.

Na wewe jazia mazuri alioyafanya.

Kumbuka hapa tunazungumzia mema tu.

Nawasilisha.
Elimu wakati vijana wetu wanakosa mikopo na kuacha shule mafisadi wa Meremeta, Rich, escrow bado wapo?
 
Pia huwa hafumbii macho mambo yanayomlenga kwa kifupi huwa ni MTU wa FAST POVU.
 
Kwani mnalipwa kwa kuandika haya?

nidhamu kwa kigezo kipi?

heshima mitaani kwa kigezo kipi?

Ameboresha elimu? seriously?
Hakuna anayelipwa kuandika chchte wewe ni ushahidi ktk yote uliyowahi kuandika humu hujawahi lipwa na mtu.

Kila mtu ana Uhuru wa kueleza kile anachokiamini mkuu.
Ukienda kwenye ofisi za umma unasikilizwa na kuhudumiwa vzr tofauti na awamu iliyopita. Mfano hospt nk,

Heshima mtaani imeongezeka maana hakuna pesa za deal nilazima uzisotee tofauti na awali.

Punguza chuki utayaona haya
 
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,
Loading...
Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,
Loading.......

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,
Kwasasa hata ukifanyika huwezi kujua.

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.
Vp,yule alikuja na ndege 3,amekosa hata kaswala,na wajna wangu anaetafutwa?

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom