Huu ndio uzuri wa mheshimiwa Pombe Magufuli

Ukiritimba Kwenye Ajira? Ajira zipi tangu ameingia kati ya kazi watu ambao hawakua na hatia waliishia kulipwa mshahara wa mwez Mmoja
 
Watu kuwahi maofisini na watumishi wa umma wana nidhamu kwa kweli inatia moyo.Sasa arudi na kuanza kuondoa hofu kwa wananchi ili waendelee kufanya kazi bila hofu,na hii italeta Amani kwa wawekezaji pia na wafanya biashara ili maisha yaende.
 
Hawa hawana lolote ni maneno ya mkosaji, kila siku wanahubiri negatives tu
ndio mkuu wao kazi yao ni negativity tuu positivity hawazionglei. kikifanywa cha maaana wanakiponda kuwa eti bora angeongeza na hici, mfano panga boy waliziponda sasa hizo boeng walizokua wanataja ndo zingekuja kutua kwenye viwanja vipi? na abiria gani?

fuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ck u bavicha
 
Watu kuwahi maofisini na watumishi wa umma wana nidhamu kwa kweli inatia moyo.Sasa arudi na kuanza kuondoa hofu kwa wananchi ili waendelee kufanya kazi bila hofu,na hii italeta Amani kwa wawekezaji pia na wafanya biashara ili maisha yaende.

Acheni propaganda za kitoto maisha yamekua ya hovyo huliko nyakati zote tagu Uhuru Wa nchi hii
 
Anajiamini,
Haogopi wafanyabiashara wakubwa, wanasiasa wakongwe wala wanaojiita nchi ina wenyewe.
-hapa kazi tu
 
Wanajamvi Leo nimejipa muda wa kutosha kutafakari uongozi wa rais wetu wa awamu ya tano nikagundua kuwa kuna mazuri mengi amefanya kuliko hata mabaya.

Wanasema mnyonge mnyongeni lkn haki yake mpeni.

Haya ndiyo mazuri yake:

Amerudisha nidhamu kazini,

Amekomesha uporaji wa fedha za umma,

Ameondoa lundo la michango mashuleni,

Ameboresha elimu,

Ameleta heshima mtaani na nyumbani pia,

Ameongeza ukusanyaji kodi,

Amekomesha ufisadi,

Ameondoa ukilitimba kwenye ajira,

Amefufua shirika la ndege,

Amezuia wizi na utoroshaji wanyama kwenye mbuga zetu.

Amefuta service charge kwenye huduma za umeme.

Na wewe jazia mazuri alioyafanya.

Kumbuka hapa tunazungumzia mema tu.

Nawasilisha.
Analipa mishahara mapema imagine Leo tu unaweza kuta tayari inasoma kwa watumishi
 
Kila mtu ana maoni yake
Amefanikiwa kuwatumbua Mama na Mwana.
Ameruhusu Mama atibiwe Muhi 2 na Mwana adisiko chuoni.
Katika Halimashauri ya CCM amefanikiwa kufuta nafasi zilizo waingiza Mama na Mwana.
Mama na Mwana ni kipindi cha redio kilichopendwa sana na Watoto miaka ya 80..
 
Amefanikiwa kuwatumbua Mama na Mwana.
Ameruhusu Mama atibiwe Muhi 2 na Mwana adisiko chuoni.
Katika Halimashauri ya CCM amefanikiwa kufuta nafasi zilizo waingiza Mama na Mwana.
Mama na Mwana ni kipindi cha redio kilichopendwa sana na Watoto miaka ya 80..

Sina neno mkuu
 
Mkuu unaoneka unaulimbukeni Fulani hivi, yaani ukuu wa idara unakuuma sana! Anyway sikuzote walionacho hujifariji kuona wenye nacho wadalili za kufanana nao.
Ndiyo nyie mnaoshangilia wengine kushushwa vyeo au kufukuzwa kazi ili mfanane.

Kusema mabaya ya utawala huu haina maana hakuna mazuri.

Fanya jambo moja achana ukuu wa idara rejea kwenye mada usitutemee kwa mapovu yasiyo sababu

Ha ha ha, Mimi sijawahi kua na wivu au ulimbukeni na vyeo vyenu vya kutegemea mwisho wa mwezi dadangu. Mimi mwenyewe nna nlowaeka ofisini kwangu na nawaita wakuu wa idara wakisubiria mshahara toka kwangu.

Nyie wakuu wa idara wa Uma ndiyo watumishi wangu tena nkiingia mnannyenyekea had nawaoneaga huruma.

Tatizo Hamna sitiri, akifanya A JPM mnasahau B, mnakuja kumsema hapa. Akifanya B mnasahau mlimsema kwa A mnakuja kukanusha kauli zenu. Mengine mngenyamaza tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom