Huu ndio Uzalendo tunaoutaka? Hii ndio right truck?

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Ama kwa hakika tupo kwenye right trucks kama tukipata vijana wengi wa aina hii, itasaidia sana kuipaisha nchi yetu kimataifa, siyo wengine kazi yao kuichafua tu kila siku

Na pia nasikia malalamiko eti mbona viongozi wa Kikristo hawalalamiki Kanisa kuvamiwa na mtu kudedishwa kwa risasi. Hivi nyie mnadhani wao hawana aklili? Walalamike ili waichafue nchi? Msivuruge amani yetu bwana.

 
ama kwa hakika tupo kwenye right tracks kama tukipata vijana wengi wa aina hii ,itasaidia sana kuipaisha nchi yetu kimataifa ,siyo wengine kazi yao kuichafua tu kila siku
Na pia nasikia malalamiko eti mbona viongozi wa kikristo hawalalamiki kanisa kuvamiwa na mtu kudedishwa kwa risasi
HIVI NYIE MNADHANI WAO HAWANA AKLILI?WALALAMIKE ILI WAICHAFUE NCHI?msivuruge amani yetu bwana.
Here you dropped this
IMG_20190208_141926_610.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom