Huu ndio ushahidi wa mama swai akimrudishia mandela viatu alivyoviacha tanzania

Mwenye kujua ilikuwaje akaviacha hapo atupe story,kwani kulikuwa na uhusiano gani na familia hiyo au huyo mama/ina maana alilala hapo kwao?na huyu mama alikuwa na miaka mingapi?
 
Mwenyezi Mungu na ambariki sana huyu mama kwa moyo wake wa upendo...ni wachache sana au hakuna kabisa wenye moyo kama wake...
 
[h=3][/h]
USHAHIDI.png

Late #Madiba Receiving his boots in 1995 which he left them in Tanzania 1962 from Mama Swai. On 11 January 1962, Nelson Mandela secretly left South Africa to travel around the continent and drum up support for the African National Congress. He visited 14 countries, including Tanzania - where he left behind a pair of his boots. Below Vicky Swai recounts the story of how she kept the boots for 33 years​

mandela alitimiza miaka 44 mwaka 62,ukitazama hii picha utaona wazi kuwa Mandela anaonekana mzee.
 
Kwa kweli huyu mama anastahili zawadi....wangekua wengine wangempa mchunga ng'ombe hizo buti... mi nakumbuka niliwahi kumuazima sweta rafiki yangu alikuja home akachelewa kuondoka na kulikua na baridi sasa kulirudisha akawa ananipiga kalenda, siku nimeenda kwao nikakuta wamelifanya dekio na ndio wameweka mlangoni eti la kupangusia miguu....niliumia sana japo it's more than 15 years ago nikikumbuka huwa nasikitika sana

Hii story yako imeniacha hoi, Pole sana.
 
Wazushi wanadai mama alikua amemtunza vizuri sana mandela enzi zile, hadi akasahau viatu
 
Back
Top Bottom