Huu ndio uongo wa Padri Mapunda kwa CCM na mapenzi yake Chadema

mkuu, hakuna mauji ya kijinga na ya kijanja, mauaji ni mauaji.

Pili, kama ni kukemea makosa, wote wanaokosea wakemewe na sio kubagua kwa kuangalia alietenda au alietendewa.

Tatu, mleta mada katoa hoja na kafafanua, ingekuwa busara kumjibu kwa hoja na ufafanuzi na sio porojo.

Aliyoongea hapo ni utumbo mtupu, nia yake ni kuleta mtafaruku Kanisani.

Elewa Mkristu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na upumbavu kama huu. Tafuteni sehemu nyingine lakini siyo kulichanganya Kanisa.

Palipo na ukweli utasemwa tu, hatuendi Kanisani kutangaza Imani za kiitikadi bali kutangaza Dini. Alipomfananisha Nyerere na Mussa alikuwa na maana na siyo wewe unayesoma maandiko na kuyaelewa kama unasoma hadithi, kisha unaleta mada zisizo na miguu wala mikono.

KWENDENI ZENU HUKO VIBARAKA WAKUBWA NYIE!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Mtoa mada haelewi hata anachopinga.Wapi Padre Mapunda kataja chama au.jina la mtu? Unajishuku nini? Padre Mapunda katoa onyo na hilo ni kwa watu wote bila ubaguzi.Mtoa mada umeonyesha upeo mdogo sana wa Tafakuri.
 
Msamehe bure
 
Nimewahi kukorofishana hadharani na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Meja Jenerali Saidi Kalembo nikimtetea Padri Mapunda alipopigwa marufuku asiongoze ibada yoyote mkoani humo mwaka 2003, zuio alilopewa kwa sababu alikuwa akihubiri siasa za uchochezi.
Jihadharini Watanzania wenzangu maana hivi vyama vyetu tuna matatizo mengi ya ndani na tukiendelea kutumia hizi nhadithi za Ukabila, Ufamilia, Ukanda na Udini hatutafika mahala. Kuna mengine ni ya kuyaacha. Kagame alipiga marufuku wananch wake kuzungumzia Vita vyao, uhasama wao na kwamba anaijenga Rwanda mpya. Maadam hatuna kiongozi kama Kagame inabidi sisi wenyewe tujihadhari hasa wewe mwanachama wa Chadema inakuhusu nini yanayofanyika CCM? halafu mnakuja itangaza Biblia hapa (wengine hawatawaelewa), waacheni wenyewe wagombane...
 
Kabla sijachangia lolote,Padre Sixtus Kimaro yupo wapi aje na yeye atie neno lake.
 
Alioyoongea hapo ni utumbo mtupu, nia yake ni kuleta mtafaruku Kanisani.

Elewa hakuna Mkristu mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na upumbavu kama huu. Tafuteni sehemu nyingine lakini siyo kulichanganya Kanisa.

Palipo na ukweli utasemwa tu, hatuendi Kanisani kutangaza Imani za kiitikadi bali kutangaza Dini. Alipomfananisha Nyerere na Mussa alikuwa na maana na siyo wewe unayesoma maandiko na kuyaelewa kama unasoma hadithi, kisha unaleta mada zisizo na miguu wala mikono.

KWENDENI ZENU HUKO VIBARAKA WAKUBWA NYIE!!!!!!

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Ungethibitisha unayosema kwa hoja na wala sio poroja na maneno matupu.
Mwenzenu katoa hoja na ajibiwe kwa hoja.
Hizi porojo ni dalili ya kushindwa.
 
Huyu Mapunda mbona hamsemi padre mwenzake kwa kumpa ubunge mzazi mwenzake? inatia huruma kwa hawa watu nimegundua ukiwa mbaguzi wa dini au kabila unakosa aibu mbele za watu.Hivi katika makanisa yote ni dhehebu moja tu la Mapunda ndio wanajua shida za watanzania na siasa?
 
Mtoa mada haelewi hata anachopinga.Wapi Padre Mapunda kataja chama au.jina la mtu? Unajishuku nini? Padre Mapunda katoa onyo na hilo ni kwa watu wote bila ubaguzi.Mtoa mada umeonyesha upeo mdogo sana wa Tafakuri.

Haihitaji profesa kujua ujumbe huo unamlenga nani, kwanini asingesema maneno hayo mwezi mmoja uliopita?
Mleta mada yuko sahihi kabisa ndiomana mapaka muda huu hakuna hata mmoja aliye weza kupangua hoja zake.
Wote mnatoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Kilicho andikwa ndio ukweli wa mambo, anaye bisha alete hoja za kupinga na sio porojo.
 
kumbe ukweli unawauma eeeh?

Halafu uongo aliosema uko wapi? Kwani ccm hamjajipa vyeo kwenye chama chenu?
 
Huyo padre ndo wale wale wanaohubiria waumini viwango wa sadaka wanasotakiwa kutoa. Huyo itabidi CAG amfanyie auditing ili kujua utajiri wake manake analala anaota utajiri.

Kuna palipotaja sadaka popote penye hiyo thread? Sasa la sadaka imeingiaje hapa.Tustaftiane ban jaman
 
Mtoa mada pamoja na ushabiki wa ccm ni mwehu, umeona undugu chadema umekataa undugu ccm, pia kwako kukosoa ni udini?, siwapendi wehu wote wanaoleta propaganda za kidini hapa nchini, utahukumiwa kwa kujipendekeza ili upate mkate wako, mbona husemi katiba ya ccm kwa sasa haifuatwi kwa 95% kama wewe ni mkweli, ccm ni dhairi si chama cha wakulima na wafanyakazi tena, bali ni chama cha wanasiasa nawafanyabiashara wakubwa, wauza madawa ya kulevya, majambazi na wauaji na polisi ndio watu wao wakaribu ili wawalinde kifupi jeshi la polisi ni kama mbwa wa mzungu, nakushauri utafute kazi hata ya kuokota chupa kwani raisi alisema hiyo ni ajira kuliko kuwagawa watanzania kwa faida ya mabwana zako
 
kumbe ukweli unawauma eeeh?

Halafu uongo aliosema uko wapi? Kwani ccm hamjajipa vyeo kwenye chama chenu?

Kamati kuu walichofanya ni kupitisha majina,kura katika uchaguzi ndio zitaamua.Rose Kamili alipigiwa kura na nani?
 
Mtoa mada acha ubangibangi. Inawezekana na wewe ni ri fisadi ndiyo maana unatetea ujinga. Mtu akiwa kiongozi wa kiroho ananyimwa haki yake ya kikatiba kutoa maoni? hapo kafanya kosa gani hadi wewe ujifanye jaji kumhukumu? Big up Padre Mapunda endelea
 
Katika maelezo yako yote hakuna mahali popote ulipomnukuu Padri Mapunda akitaja majina ya mke wala mtoto wa rais Kikwete unaweza ukaelezea ni kitu gani kimekufanya uhisi kuwa wanaongelewa ni hao na wala si ndugu wa viongozi wa Chadema.
Padri Mapunda alitaadhalisha kuhusu kupeana madaraka kwenye familia moja kwamba kutahadhili utendaji kazi bila kutaja chama wala majina lakini wewe mwenyewe ukakiri kuwepo ndugu waliopewa madaraka ndani ya CCM na CDM inawezekana hata katika vyama vingine vya siasa ila wewe moja kwa moja ukakurupuka na kuwataja jamaa zake na Kikwete hiyo ndio wenzetu wanasema the guilty are afraid.
Juzi juzi hapa jamvini ulikuwepo uzi uliowataja watoto wa vigogo wa CCM ambao wameingizwa UVCCM mbona hao usemi alikuwa akiwalenga wao.
Angalizo la Padri Mapunda lilikuwa la jumla jumla kwa vyama vyote lakini wewe ukamtia maneno kinywani kwa sababu unazozijua mwenyewe kama hiyo haikutosha ukampachika uChadema kitu ambacho ukukidhibitisha.
Kwa ufupi umetudhihilishia unazi wako na ukereketwa wa CCM na inaelekea kauli ya Padri Mapunda imekugusa je na wewe ni mmooja wao?.
 
yani umeandka kama wewe ndo moja wa wanafamilia ya kikwete!..umekuja kwa chuki na kiitikadi zaidi' acha watz tuone wenyewe kwani 2najua kutamua.. Sisi sio wafu kama walio ku2ma wadhaniavyo
 
soma historia vzuri,karume hakuleta uhuru wa nzanziba! Wakina OKELO wa2kuwa walfanya nn?.risala yako mpelekee uyu padri huko manzese
 
Haihitaji profesa kujua ujumbe huo unamlenga nani, kwanini asingesema maneno hayo mwezi mmoja uliopita?
Mleta mada yuko sahihi kabisa ndiomana mapaka muda huu hakuna hata mmoja aliye weza kupangua hoja zake.
Wote mnatoa majibu mepesi kwa maswali magumu.

Kilicho andikwa ndio ukweli wa mambo, anaye bisha alete hoja za kupinga na sio porojo.
Mleta mada ana chuki dhidi ya Wakristo nchini ila atakufa na kuwaacha Wakristo wakitamba nchini.
 
Mleta mada ni sawa na kuku aliyekatwa kichwa { headless chicken} kwa sababu ana chuki binafsi dhidi ya Wakristo na CHADEMA. Tumpuuze.
 
Back
Top Bottom