Mbona kuna watu wengine wanaogopa kwenda kutembea nchi ambazo haziongei lugha yake. Mfano upo kwenye mfuko wako wa shati.Naomba unipe na hasara za kutumia lugha za kigeni kwenye masomo!
Ukipewa jibu naomba unitag mkuu!Naomba unipe na hasara za kutumia lugha za kigeni kwenye masomo!
Sisi hatuthamini lugha yetu.Nchi nyingi zilizoendelea Elimu zao hutowa kwa kutumia Lugha mama ya kwao, Mfano Urusi Vyuo vingi wanatumia kufundishia kwa Kirusi
.
Hii ina maana ya kuwa Lugha ni nyenzo muhimu kwenye kukuza maendeleo
.
Tutumieni Lugha yetu vizuri
Sisi hatuthamini lugha yetu.
Ukiwa huzingatii muda utaitwa Mswahili.
Ukiwa unakaa kwenye makazi duni utasikia wee unakaa Uswahilini.
Ukiwa hujui Kingereza unaonekana wee ni mbumbumbu was mwisho kabisa
Naomba unipe na hasara za kutumia lugha za kigeni kwenye masomo!
Umejibu kienyeji sana mkuu!Kudumaza maendeleo hii hutokana na kukibadilisha kile unachokisoma na kukileta katika utafasili wa lugha mama na kukifanyia kazi tatizo linqkuja kwenye utafasili hapo ndipo ufanisi unapunguwa