Akiwa mahututi huu ndiyo ulikuwa msumali wa moto moyoni mwake mpaka akauliza "Brutus hata Wewe? "

Kaizari au Caesar anafahamika kuwa ni mmoja ya wanasiasa na wanavita hodari ambao walipata kutokea na kuitikisa Dunia ya miaka hiyo. Kwa mbinu, akili, nguvu na imani aliyokuwa nayo kwake na kwa watu wake.

Caesar alikuwa mwanasiasa asiye mwanasiasa. Hakutaka kuyumba kwa kile alichoamini. Jambo hili lilipelekea kifo chake. Sitozungumzia hapa nini kilitokea.

Leo nmeandika haya nikikumbuka mwaka 2013 nlikutana na kijana mmoja Mwanamageuzi na CDM wa kufa. Tulifahamiana naye kazini na katika mazungumzo nlipenda alivyokuwa akikizungimzia chama na hasa Mbowe kwa weledi mkubwa sana.

Tuliheshimiana kwenye misimamo.mimi sina chama si mfuasi wa mtu ila nina fuata itikadi yangu na siasa zangu huru. Yeye ni kada wa Chadema na mwenye kum admire sana Mbowe.

Ni mtu ambaye alinieleza kwa kina kilichotokea katika uchaguzi wa IGUNGA. Ni uchaguzi ambao naombea kila mara usipate kutokea tena nchini. Uchaguzi uliokuwa umejaa Ghilba, Unyama na Umafia wa kiwango cha Juu sana.

Nliifahamu picha kutoka kwa huyu jamaa akiwa karibu sana eneo la tukio na mhusika waliyeshuhudia mambo kadhaa katika Uchaguzi ule wa Kifirauni kupata kutokea.

Mwaka 2014 aliacha kazi na kurudi kwao kwenda kujiandaa kugombea Udiwani. Na kweli 2015 alifanikiwa kuwa mmoja wa Madiwani wanaowakilisha CDM.

Mwaka jana sikumbuki mwezi wa ngap exactly nlimpigia simu kumuuliza anaendeleaje. Alinambia ukweli hali ni ngumu ,pesa hamna na ahadi nyingi hajatimiza.kwa sababu pesa hamna ktk almashauri n.k

Pia wananchi wanamtoa sana pesa wakiamini anazo.akanambia anapambana lakini haoni ushindi. Nlimwambia "jiunge CCM" nikitaka kumsikia. Alikataa kabisa kuwa hatoweza fanya hilo. Nikatabasamu na kumwambia kabla ya 2020 ntamuuliza tena msimamo wake.

Mwaka huu mwanzon tukawasialiana tena.alikuwa ni mtu aliyekata tamaa kabisa na siasa ila anawaza nini cha kufanya akimaliza siasa haoni.tukaongea nikamtania mambo kadhaa.

Week kadhaa zilizopita nilimwona katika Video Clip moja amevaa tshirt ya kijani ameamua kuunga juhudi. Huyu ni mwanasiasa na sifa za kisiasa. Amefanya evaluation aka analyze mambo kadhaa na kugundua 2020 hawez rudi katika Udiwani isipokuwa kama atakuwa CCM. Inaitwa projection. Ame project.

Nikapatwa na hilo swali alilouliza Kaizari "BRUTUS HATA WEWE?"

Vile visu alivyochomwa Kaizari sivyo vilivyomuua kwa maumivu makali. Ndo maana katika kuchomwa vile visu Kaizar hakulalamika ,hakuumia sana mpaka alipokuja kumwona MTU ALIYEMWAMINI NAYE AKIMCHOMA KISU. HILI NDILO LILIO MTESA NA KUMUUMIZA SANA.KAIZARI ALIMWAMINI SANA BRUTUS.

TUNAKOSEA WAPI?
Tunaweka Imani yetu kubwa kwa wanasiasa badala ya mifumo inayotengeneza na kuwaweka madarakani wanasiasa hao. Hili ndilo tatizo la siasa za afrika au Tanzania specifically.

Tunaamini wanasiasa. Tunawajenga sana wanakuja kugundua kuwa wao ni wakubwa na muhimu kuliko sisi. Wanaishia kututawala na kuamini wana haki zaidi kuliko raia. Wanaamini raia ni njia ya wao kupata kipato.

Sitomwamini mwanasiasa, sitokuwa kada wa chama. Nitabaki kuwa MWANASIASA HURU ambaye nitaita Koleo ni Koleo na Kijiko ni Kijiko

Tungeungana kupigania kubadilisha mifumo mibovu inayotupa wanasiasa wabovu na yenyewe uwezo wa kulea madarakani wanasiasa wabovu. Uchaguzi wa Mwaka 2020 kwangu hauna maana. Hautakuwa na Jipya. Kama tu hatutaamua kubadilisha mambo kadhaa ya katiba.

Et tu, Brute kwa kiswahili. Brutus, Hata wewe?
I haven't come to praise Ceaser, I have come to bury him, Brutus alisema kabla ya kumshindilia visu na kumwuua mbele ya waliokuwepo. Wafalme wa wakati huo walitegemea sifa tu toka kwa raia.
 
mie nilidhani unataka kuleta habari njema toka SA du
 
I haven't come to praise Ceaser, I have come to bury him, Brutus alisema kabla ya kumshindilia visu na kumwuua mbele ya waliokuwepo. Wafalme wa wakati huo walitegemea sifa tu toka kwa raia.
Julius Caesar hakuwa Mfalme wa Rumi, isipokuwa alishutumiwa kuwa na tamaa ya kutaka kuwa mfalme. Kumbuka katika sherehe moja Mark Anthony, mkuu wake wa Jeshi, alitaka kumvisha taji mara tatu, na mara zote tatu aliikataa.
Wakati huo Rumi ilikuwa Jamhuri ikiwa inatawaliwa na Baraza la Senate, Julius Caesar akiwa Mkuu wa Senate. Baraza lilikuwa na watu kama Cacius na Marcus Brutus na wenzao ambao kwa pamoja walipanga njama ya kumuua Caesar Barazani "on the Ides of March"
Brutus aliaminiwa na Caesar kwa busara zake, lakini pia Jamii ya Warumi walimkubali kama kiongozi mwanafalsafa mwenye hekima.
Hapo ndipo wasaliti akina Cacius walipomshawishi kumshirikisha kwenye uhaini ili wapate uungwaji mkono wa Wananchi wa Roma. Akawa wa mwisho kumchoma jambia Caesar!!!!
 
Nilichojifunza hapa Hawa wanaojiita wanaharakat au wanasiasa weng wanapenda kaz yao ila tatzo la kiuchumi ndio tatzo kwao Kwan huwa wanategemea Sana siasa iwatoe katka Hali zao za umasikini hapo ndipo tatzo huanza nadhan n vema Wakawa na uvumilivu na kuamin wanachokisimamia huku wakiwa wanapambana kiuchumi kukomboa familia zao

Mkuu hii ni point kubwa sana
 
Tunaona wengi mkuu wanapoanza siasa wakiwa na Hali ya upambanaji Sana baada ya muda hubadilika hii inatokana na watawala wanajua wapi watawabana hawa wanasiasi wa upinzan ambao dola inahis n Wasumbufu watatumia kila mbinu kwakuwatisha Au kuwavibana vyanzo vyao Vya mapato Au kuwaahid nyadhfa Au kuwapa rushwa nasema haya kwa experience ya rafki yangu ambaye alikuwa diwani wa CHADEMA baada ya misukosuko ya kisiasa na ubaguzi kahamia CCM ila kaniambia ukweli
Mkuu hii ni point kubwa sana
 
Kaizari au Caesar anafahamika kuwa ni mmoja ya wanasiasa na wanavita hodari ambao walipata kutokea na kuitikisa Dunia ya miaka hiyo. Kwa mbinu, akili, nguvu na imani aliyokuwa nayo kwake na kwa watu wake.

Caesar alikuwa mwanasiasa asiye mwanasiasa. Hakutaka kuyumba kwa kile alichoamini. Jambo hili lilipelekea kifo chake. Sitozungumzia hapa nini kilitokea.

Leo nmeandika haya nikikumbuka mwaka 2013 nlikutana na kijana mmoja Mwanamageuzi na CDM wa kufa. Tulifahamiana naye kazini na katika mazungumzo nlipenda alivyokuwa akikizungimzia chama na hasa Mbowe kwa weledi mkubwa sana.

Tuliheshimiana kwenye misimamo.mimi sina chama si mfuasi wa mtu ila nina fuata itikadi yangu na siasa zangu huru. Yeye ni kada wa Chadema na mwenye kum admire sana Mbowe.

Ni mtu ambaye alinieleza kwa kina kilichotokea katika uchaguzi wa IGUNGA. Ni uchaguzi ambao naombea kila mara usipate kutokea tena nchini. Uchaguzi uliokuwa umejaa Ghilba, Unyama na Umafia wa kiwango cha Juu sana.

Nliifahamu picha kutoka kwa huyu jamaa akiwa karibu sana eneo la tukio na mhusika waliyeshuhudia mambo kadhaa katika Uchaguzi ule wa Kifirauni kupata kutokea.

Mwaka 2014 aliacha kazi na kurudi kwao kwenda kujiandaa kugombea Udiwani. Na kweli 2015 alifanikiwa kuwa mmoja wa Madiwani wanaowakilisha CDM.

Mwaka jana sikumbuki mwezi wa ngap exactly nlimpigia simu kumuuliza anaendeleaje. Alinambia ukweli hali ni ngumu ,pesa hamna na ahadi nyingi hajatimiza.kwa sababu pesa hamna ktk almashauri n.k

Pia wananchi wanamtoa sana pesa wakiamini anazo.akanambia anapambana lakini haoni ushindi. Nlimwambia "jiunge CCM" nikitaka kumsikia. Alikataa kabisa kuwa hatoweza fanya hilo. Nikatabasamu na kumwambia kabla ya 2020 ntamuuliza tena msimamo wake.

Mwaka huu mwanzon tukawasialiana tena.alikuwa ni mtu aliyekata tamaa kabisa na siasa ila anawaza nini cha kufanya akimaliza siasa haoni.tukaongea nikamtania mambo kadhaa.

Week kadhaa zilizopita nilimwona katika Video Clip moja amevaa tshirt ya kijani ameamua kuunga juhudi. Huyu ni mwanasiasa na sifa za kisiasa. Amefanya evaluation aka analyze mambo kadhaa na kugundua 2020 hawez rudi katika Udiwani isipokuwa kama atakuwa CCM. Inaitwa projection. Ame project.

Nikapatwa na hilo swali alilouliza Kaizari "BRUTUS HATA WEWE?"

Vile visu alivyochomwa Kaizari sivyo vilivyomuua kwa maumivu makali. Ndo maana katika kuchomwa vile visu Kaizar hakulalamika ,hakuumia sana mpaka alipokuja kumwona MTU ALIYEMWAMINI NAYE AKIMCHOMA KISU. HILI NDILO LILIO MTESA NA KUMUUMIZA SANA.KAIZARI ALIMWAMINI SANA BRUTUS.

TUNAKOSEA WAPI?
Tunaweka Imani yetu kubwa kwa wanasiasa badala ya mifumo inayotengeneza na kuwaweka madarakani wanasiasa hao. Hili ndilo tatizo la siasa za afrika au Tanzania specifically.

Tunaamini wanasiasa. Tunawajenga sana wanakuja kugundua kuwa wao ni wakubwa na muhimu kuliko sisi. Wanaishia kututawala na kuamini wana haki zaidi kuliko raia. Wanaamini raia ni njia ya wao kupata kipato.

Sitomwamini mwanasiasa, sitokuwa kada wa chama. Nitabaki kuwa MWANASIASA HURU ambaye nitaita Koleo ni Koleo na Kijiko ni Kijiko

Tungeungana kupigania kubadilisha mifumo mibovu inayotupa wanasiasa wabovu na yenyewe uwezo wa kulea madarakani wanasiasa wabovu. Uchaguzi wa Mwaka 2020 kwangu hauna maana. Hautakuwa na Jipya. Kama tu hatutaamua kubadilisha mambo kadhaa ya katiba.

Et tu, Brute kwa kiswahili. Brutus, Hata wewe?
Tunawalaumu sana watu wanaounga mkono juhudi lakini hatujafanya jitihada ya kujua kilichopo nyuma ya mabadiliko hayo mengi yakiwa ya ghafla.
Kuna Mwenyekiti wa kijiji kutoka upinzani ambaye amejitahidi sana kuleta maendeleo kijijini kwake lakini amekwama na juzi nimesikia kaunga mkono juhudi.Wanakumbana na kushawishiwa kwingi,ahadi nyingi na wakati mwingine vitisho na unafikia wakati wanasalimu amri.La muhimu tupate maendeleo na nafuu ya maisha,inatosha!
 
Sasa tutatokaje hapa tulipo, na ukizingatia hao wana Siasa ndio wenye Mpini huku sisi tukiwa tumeshikilia Makali !!?..Tumekuwa tukiambiwa Nchi ni ya Wananchi lakini Matokeo ya Hali halisi sivyo ndivyo ..
 
Nilichojifunza hapa Hawa wanaojiita wanaharakat au wanasiasa weng wanapenda kaz yao ila tatzo la kiuchumi ndio tatzo kwao Kwan huwa wanategemea Sana siasa iwatoe katka Hali zao za umasikini hapo ndipo tatzo huanza nadhan n vema Wakawa na uvumilivu na kuamin wanachokisimamia huku wakiwa wanapambana kiuchumi kukomboa familia zao

Niambie mwana ccm ambae yupo ccm hii ya leo kwa mapenzi ya chama. Leo hii ukimuuliza hata Bashiru leo hii akuambie itikadi na sera za ccm ni nini hataweza.
 
Back
Top Bottom