MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,218
Katika kitu kinacho hubiliwa na wana siasa kila siku ni ishu ya ukomavu wa kisiasa
ambao mwanasiasa yeyote makini anatakiwa kuwa nao katika maisha yake ya kisiasa
aisee huyu mamam Anna Mghwira kaonesha ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu.
Hivi ndivyo siasa za vyama vingi zinavyotakiwa kuendeshwa na sio mambo ya maandamano
na kukimbizana kama mnafukuza mwizi. Hii nchi ni yetu sote na itajengwa au kubomolewa na
sisi wenyewe kwa mikono yetu.
Hongera Mh. Rais kwa uteuzi makini na wenye tija kwa nchi.