Huu ndio ukomavu wa kisiasa tunahitaji Tanzania

Tumuombee huyu mama asijetumbuliwa,halafu akaomba hifadhi chadema,watamsananga na mapanga.
 
Hujafafanua bayana,.Nini maana ya ukomavu wa kisiasa, naona umeishia kumsifu mheshimiwa kwa kumteua mpinzani wake!
 
Kuna tofauti ya kuonyesha ukomavu mkubwa na kuonyesha njaa kali. Sasa malizia mwenyewe kile alichokionyesha kati ya hivyo. Haya mashangingi yanawafanya watu washindwe kusimamia misimamo yao.
 
Hii ni credit sana kwenye scorecard ya demokrasia kwa jicho la kitaifa na kimataifa.
 
Back
Top Bottom