TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Uzalendo wa hali ya juu.
asante kwa jibu kuntu.Kwa hiyo na wale waliomtukana Lowassa majukwaanimiaka zaidi ya 10 na kumuita Fisadi lakini baadae wakabadili gia angani na kuanza kumpamba kwa kila hali nao ni Mapandikizi??
Kweli mkuu si unajua binadamu hata kufikiri pia tunafikiri tofautiSawa, ingawa mimi kwangu ninaona ni sawa tu
Kwani amelazimishwa?Lakini kwa kulinda hadhi yake kama mwenyekiti wa chama taifa angemteua kuwa mbunge kuliko ukuu wa mkoa
Kwanini unamlaumu magufuli badala ya aliyekubali uteuzi?Hapana, kakubali mwenyewe tena kwa mikono 2
.
Kwenye serikali yangu hakuna mpinzani atakayeingia~~~~~~~~ haya maneno nilisema zanzibarNchi inajengwa na wanamaendeleo na siyo na wanaharakati ambao hupenda kupaza sauti ati "demokrasia".
FafanuaKwenye serikali yangu hakuna mpinzani atakayeingia~~~~~~~~ haya maneno nilisema zanzibar
Angetaka hayo yoote angalau angeteuliwa kuwa mbunge lkn ilivyosasa aliyoyahubiri yote "Kwisha khabari yake".Ilani ya ccm,katiba ya jmt na miongozo ya kiongozi wake ndiyo anayotakiwa kuifuata.Ile katiba mpya ndio basi tena, wanaililia wakiwa upinzani wakipewa vyeo kimya, polepole alikemea sana nafasi za ukuu wa wilaya/mkoa akapewa akakubali akanyamaza, wala asishauri hazifai zifutwe, mama juzi tu kalilia katiba mpya iliyo pendekeza hizi nafasi zifutwe, kapewa kapokea kwa bashasha..njaa ya kichwa haijawahi kumuacha mtu salama.
haa haa nimeamini njaa mbaya...Kwa hili dude.acha mama akale maisha
HahahahaKabisa...yaani ni uzalendo Wa kiwango cha standard gauge "SGR".