Huu ndio ukomavu wa kisiasa tunahitaji Tanzania

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Katika kitu kinacho hubiliwa na wana siasa kila siku ni ishu ya ukomavu wa kisiasa
ambao mwanasiasa yeyote makini anatakiwa kuwa nao katika maisha yake ya kisiasa
aisee huyu mamam Anna Mghwira kaonesha ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu.

Hivi ndivyo siasa za vyama vingi zinavyotakiwa kuendeshwa na sio mambo ya maandamano
na kukimbizana kama mnafukuza mwizi. Hii nchi ni yetu sote na itajengwa au kubomolewa na
sisi wenyewe kwa mikono yetu.
Hongera Mh. Rais kwa uteuzi makini na wenye tija kwa nchi.
upload_2017-6-6_16-22-50.jpeg

upload_2017-6-6_16-21-50.jpeg
upload_2017-6-6_16-22-10.jpeg
upload_2017-6-6_16-22-36.jpeg
upload_2017-6-6_16-22-25.jpeg
upload_2017-6-6_16-25-16.jpeg
upload_2017-6-6_16-23-14.jpeg
upload_2017-6-6_16-25-50.jpeg
upload_2017-6-6_16-24-49.jpeg
upload_2017-6-6_16-23-5.jpeg
 
Mama yetu bado yupo kwenye oda sana, tunapenda kujenga nchi yetu ila kuna many'ang'au flani ndani ya CCM wanakwamisha ujenzi wa nchi yetu kwa 100%. Bora wafe ata kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali tunaweza kusonga mbele
 
Mama yuko vizuri sana. Atumie fursa hiyo kujijenga kisiasa sio kwa maneno Bali kwa kuwatumikia wananchi kwa nguvu zote...
 
Lakini kwa kulinda hadhi yake kama mwenyekiti wa chama taifa angemteua kuwa mbunge kuliko ukuu wa mkoa
Mimi kwa mtizamo wangu ni sawa tu kwa nafasi aliyo mteua kwani
atafanya kazi na wabunge pia kupitia majimbo yao, hivyo
kama ana cha kuwajuza basi watafahamishana pia.
 
Mbona katika Picha ya Kwanza hiyo Watu wote walikuwa wakifurahi na karibia wote walikuwa wakimwangalia Mkuu wa Mkoa Mteule wa Mkoa wa Kilimanjaro ila Ndugu Paul Christian Makonda Yeye macho yake Kodo yalikuwa katika Kamera tena akiwa na umakini mkubwa?
 
Mapandikizi yanalipwa fadhira baada ya kufanya kazi.
Kwa hiyo na wale waliomtukana Lowassa majukwaanimiaka zaidi ya 10 na kumuita Fisadi lakini baadae wakabadili gia angani na kuanza kumpamba kwa kila hali nao ni Mapandikizi??
 
Katika kitu kinacho hubiliwa na wana siasa kila siku ni ishu ya ukomavu wa kisiasa
ambao mwanasiasa yeyote makini anatakiwa kuwa nao katika maisha yake ya kisiasa
aisee huyu mamam Anna Mghwira kaonesha ukomavu wa kisiasa wa hali ya juu.

Hivi ndivyo siasa za vyama vingi zinavyotakiwa kuendeshwa na sio mambo ya maandamano
na kukimbizana kama mnafukuza mwizi. Hii nchi ni yetu sote na itajengwa au kubomolewa na
sisi wenyewe kwa mikono yetu.
Hongera Mh. Rais kwa uteuzi makini na wenye tija kwa nchi.
View attachment 520305

View attachment 520301View attachment 520302View attachment 520304View attachment 520303View attachment 520309View attachment 520307View attachment 520310View attachment 520308View attachment 520306
Utumbo huu akitumbuliwa na huyo mwenyekiti wenu ataenda wapi. Kapewa ilani ya ccm hivyo n ccm tangiapo, maana yake ACT ni ccm
 
Utumbo huu akitumbuliwa na huyo mwenyekiti wenu ataenda wapi. Kapewa ilani ya ccm hivyo n ccm tangiapo, maana yake ACT ni ccm
Akitumbuliwa ataendea mahala pengine kuwatumikia watanzania kwa namna nyingine
kwani kuna msemo mzuri sana usemao :
Nchi inajengwa na wanamaendeleo na siyo na wanaharakati ambao hupenda kupaza sauti ati "demokrasia".
 
Utumbo huu akitumbuliwa na huyo mwenyekiti wenu ataenda wapi. Kapewa ilani ya ccm hivyo n ccm tangiapo, maana yake ACT ni ccm

Siasa maana yake ni ujenzi wa nchi kwa pamoja. Ubinafsi uweke kwenye dini (imani ya mtu na akiokoka ni yeye kama yeye)
 
Back
Top Bottom