Huu ndio ujio wa Benpol baada ya picha za utupu. Amefaulu au amefeli?

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,679
Hii ndio kazi mpya ya Benpol aliyokuwa anaitangaza kupitia picha za utupu wake. Anasema ile ni sanaa alikuwa anajaribu kuipa uhalisia.

Vipi amefaulu au amefeli?

 
Cha kushangaza sanaa yenyewe imeishia instagram kama sio basi atakua yupo kwenye mashindano na ommy dimpozi kula bata za dezo dezo

Soko la muziki Tanzania liko wapi?shida ni views tu za u tube aisee
 
Amefeli kwa sababu katika hili amejipotezea mashabiki wengi mimi nikiwemo...Huo wimbo haukuhitaji kuvua nguo ili upendwe... sasa sitoshangaa kama atabeba madawa ili kujikwamua kimaisha...huu ni ujinga.
Haya yalitegemewe kufanywa na Gigy money na si mwanaume mwenye mtoto nyumbani....
Ben pol ameeleza aliyempaka hayo mafuta? Ameeleza ni nani alimpiga hizo picha?
Mimi nime muongeza kwenye list ya wasanii vichaa.... na sitoshangaa kama akidhamiria kubakwa ili kupata kiki...
Alicho kifanya kimewashangaza wengi kwa kuwa wengi hawakutarajia hayo kutoka kwake......
 
Hii ndio kazi mpya ya Benpol aliyokuwa anaitangaza kupitia picha za utupu wake. Anasema ile ni sanaa alikuwa anajaribu kuipa uhalisia.

Vipi amefaulu au amefeli?


Kwa nyimbo hii bora hata alivoanza kiki nimepata kuisikia ila ingenipitia kushoto
 
Alikuwa anaipa uhalisia wa kupakwa mafuta? kwa maana nyingine huwa anapakwa mafuta
 
Jamaa ana sauti nyororo na anaongea kizembe sana halafu anatafuta kiki kwa kupakwa mafuta. Huyu tukimhisi choko tusilaumiwe.
 
Wimbo mzuri hakuhitaji kufanya yote hayo, Mimi ni miongoni mwa watu walioshangazwa na hawakutegemea kwamba Ben Pol anaweza kufanya hivyo so nimemshusha vyeo
 
Back
Top Bottom