Huu ndio uhuru wa maoni ambao hata kiongozi wa nchi anaambiwa ukweli tena barabarani na wananchi wa kawaida kabisa

Wao ni wao na sisi ni sisi. Unajua kuwa hao ndio waliotutawala?. Unajua kwamba hao mwaka 1884 walikuwa wanazijua sehemu zote za afrika wakati sisi waafrika hatujui sehemu nyingi tu za bara letu?.

Msikariri maisha, mnataka uhuru wa kujieleza ili mpate sehemu ya kupungua machungu yenu ya maisha.

Mtu agombane na mkewe halafu wa kumpunguzia hasira awe rais!

Mtu afukuzwe kazi au aachwe na mpenzi wake na wakumpunguzia hasira awe rais!.

Kuweni tu wapole.
 
Mnapoona wenzetu wanapiga hatua,msifikiri ni miujuzi, bali ni kwasababu wanajitambua kama huyo mwananchi anaempa ukweli huyo waziri mkuu wake.

Hao wananchi sio wa kudanganywa kwa propaganda za vyombo vya habari wala kwa kupewa kofia na kanga/vitenge kama huku kwetu.

Nyie endeleeni kuimba mapambio na kutukuza huku mkiendelea kuombaomba na umasikini ukiendelea ukishika kasi.
 
Umejibu mada hii hii au unazungumzia jambo lingine?
 
Wao ni wao na sisi ni sisi. Unajua kuwa hao ndio waliotutawala?. Unajua kwamba hao mwaka 1884 walikuwa wanazijua sehemu zote za afrika wakati sisi waafrika hatujui sehemu nyingi tu za bara letu?.

Msikariri maisha, mnataka uhuru wa kujieleza ili mpate sehemu ya kupungua machungu yenu ya maisha.

Mtu agombane na mkewe halafu wa kumpunguzia hasira awe rais!

Mtu afukuzwe kazi au aachwe na mpenzi wake na wakumpunguzia hasira awe rais!.

Kuweni tu wapole.

Acha kujishuku Phillipo
 
Magufuli unaweza jibizana nae hivyo asipanic? Mbona huwa ananyang'anya MIC?

Kumteta kwenye simu tu ni issue itakuwa kumpa makavu live kama hapo?

Ingawa waafrika bado tupo kwenye evolution ila huyo kamongo wenu yupo mbali zaidi maana ni kituko
Mbona Rais Magufuli akiwa ziarani huzungumza na wananchi barabarani au wewe unaishi Congo.

Fika soko la samaki ferry utasimuliwa vizuri wewe kamanda wa Ufipa!
 
Mnapoona wenzetu wanapiga hatua,msifikiri ni miujuzi, bali ni kwasababu wanajitambua kama huyo mwananchi anaempa ukweli huyo waziri mkuu wake.

Hao wananchi sio wa kudanganywa kwa propaganda za vyombo vya habari wala kwa kupewa kofia na kanga/vitenge kama huku kwetu.

Nyie endeleeni kuimba mapambio na kutukuza huku mkiendelea kuombaomba na umasikini ukiendelea ukishika kasi.
Kweli kabisa wao sio wakudanganywa na vyama vya siasa kuwa wakishinda watejenga nchi wakati vyama wenyewe wanashindwa kujenga hata ofisi zao za kueleweka
 
Mbona Rais Magufuli akiwa ziarani huzungumza na wananchi barabarani au wewe unaishi Congo.

Fika soko la samaki ferry utasimuliwa vizuri wewe kamanda wa Ufipa!

Umewahi kusikia mwananchi yoyote anapokuwa akiongea na hao wananchi wakihoji demokrasia? Kama haujawahi kusikia, basi ujue huwa anaongea na watu waliopangwa na cha kuuliza. Yaani huwa anachofanya ni kujitungia mtihani kisha anaufanya!
 
Wao ni wao na sisi ni sisi. Unajua kuwa hao ndio waliotutawala?. Unajua kwamba hao mwaka 1884 walikuwa wanazijua sehemu zote za afrika wakati sisi waafrika hatujui sehemu nyingi tu za bara letu?.

Msikariri maisha, mnataka uhuru wa kujieleza ili mpate sehemu ya kupungua machungu yenu ya maisha.

Mtu agombane na mkewe halafu wa kumpunguzia hasira awe rais!

Mtu afukuzwe kazi au aachwe na mpenzi wake na wakumpunguzia hasira awe rais!.

Kuweni tu wapole.
Hiyo si kweli.

Waafrika tulipajua kwao kwanza na tulipatawala.

Soma historia za ukweli achana na historia za kurithishwa na wazungu, ni uongo mtupu.
 
Mnapoona wenzetu wanapiga hatua,msifikiri ni miujuzi, bali ni kwasababu wanajitambua kama huyo mwananchi anaempa ukweli huyo waziri mkuu wake.

Hao wananchi sio wa kudanganywa kwa propaganda za vyombo vya habari wala kwa kupewa kofia na kanga/vitenge kama huku kwetu.

Nyie endeleeni kuimba mapambio na kutukuza huku mkiendelea kuombaomba na umasikini ukiendelea ukishika kasi.
Umaskini unaanza na wewe mwenyewe, unaanza na akili zako na jitihada zako za kutafuta maisha bora zaidi.

Kitendo cha wewe kuanzisha hii thread ni uhuru wenyewe wa habari. Unataka ukikutana na waziri njiani umtusi unavyojisia eti kwa sababu huko Uingereza wanafanya hivyo!, nenda kaishia nao huko.

JK aliruhusu uhuru wa habari kupitiliza, nini kilimtokea mwishoni?, aliambiwa yeye ni dhaifu.

Siasa nyingi hazina tija, tupige kazi, tuwe wabunifu, tutasonga mbele.
 
ha ha ha,hili li Boris johnson nalikubali sana licha ya tabia zake za ugangwe mob,,halafu wabunge wamemkomalia hadi huruma,,,lakini anaonekana anamsimamo
 
Mbona Rais Magufuli akiwa ziarani huzungumza na wananchi barabarani au wewe unaishi Congo.

Fika soko la samaki ferry utasimuliwa vizuri wewe kamanda wa Ufipa!
Wanataka na rais wetu au Kassim wawe tayari kupokea maoni ya aina yoyote ile majukwaani au njiani, wanataka wawe ni watu wenye moyo kama wa JK, unamtukana leo yeye kesho huyoo anakwea pipa akielekea Australia.
 
Back
Top Bottom