Huu ndio Mzigo wangu wa Movie

View attachment 1788065

Hebu nisaidieni kwenye hizo series ipi ni nzuri niitazame wakuu...?
Anyway kama unapenda movie za Ngumi Anza na into the badlands, kama unapenda movie za ujasusi Anza na the blacklist, kama unapenda movie za terrorism Anza na tyrant kama unapenda movie za drugs dealer Anza na the power na kama unapenda movie za criminal Anza na 24 legacy. Enjoy
 
Aisee kuna nyingin hiz hapa wakuu

Kingsman(secret service) na
Kingsman(the golden circle) hizi movie ni balaa
Pia kuna hizi

Hitman Agent 47
The Old Guard
Assassin Creed
Shaft za Samuel l. Jackson ziko mbili
Pia kuna series mpya hii imeachiw tar.7
Ya mwezi huu
Jupiter's Legacy ...
 
Into the badlands nimeiona ipo vizuri mkuu...!
 
Mkuu tazama the brave

Aisee kiongozi nipo na THE BRAVE naendelea nayo hapa, ama kwa hakika kwenye machaguo yako hujawahi kuniangusha hata siku moja mkuu.

Heshima nyingi sana kwako kiongozi...!
 
Aisee kiongozi nipo na THE BRAVE naendelea nayo hapa, ama kwa hakika kwenye machaguo yako hujawahi kuniangusha hata siku moja mkuu.

Heshima nyingi sana kwako kiongozi...!
Haaahaaa..ahsante sana mkuu
 
Naanza weekend na mzigo wa Django Unchained
 
Wanangu tafuteni huu mzigo
The-Mosquito-Coast-Review-2021-Tv-Show.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom