Huu ndio muundo mpya wa upinzani mkubwa Tanzania, CUF kufutika Zanzibar

VIVIANET

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,129
2,918
Kuna mstari katika maandiko matakatifu usemao,,all things work together for good. mambo yote utenda kazi pamoja kwa uzuri.

CCM kufadhili Cuf Lipuamba wamekosea sana, maana wameunganisha wapinzani na kuwa chama kikubwa mno chenye uwezo wa kuchukuwa dola. Kwanza niwahakikishie Cuf Lipumba ccm B inafutika Z,bar maana hawatakuwa tayari kuongozwa na msaliti mwovu Ibrahim Lipumba, hivyo Cuf Z,bar inakwenda kuunguna na Chadema au Act na kusababisha Cuf kutokuwepo Z,bar.

Vyama vyote wa ushindani vinaenda kuungana na kuunda chama kimoja chenye nguvu kubwa, na huu unaweza kuwa ndio muundo wake.

Mwenyekiti Mbowe
Makamu Zitto Kabwe
Katibu mkuu Maalim Seif
Naibu Katibu mkuu Mbatia.

Watakao gombea Urais Bara Tundu Lissu
Upande wa visiwani Maalim Seif.
Halafu tume huru lazima itatokana na upinzani kukataa kuingia kwenye uchaguzi bila tume huru...watafanya maandamano kila siku na polisi wakiendelea kuwazuia ipo nguvu kubwa ya wananchi itakao waunga mkono maana wamechoka kunyanywaswa
 
Zitto kabla ya kufukuzwa alikua na cheo gan? Hapo umempa cheo gan na una uhakika huo mgawanyo utakua na maslahi kwa wote?
sio rahisi kuungana kama unavyofikiria. UKAWA ulianza vizur ila ikafikia mahali kila chama kinasimamisha mgombea
 
Mbowe lazima auze timu kwa la mdimu kama alivyoiuza UKAWA kwa mzee Lowassa!
 
Zitto kabla ya kufukuzwa alikua na cheo gan? Hapo umempa cheo gan na una uhakika huo mgawanyo utakua na maslahi kwa wote?
sio rahisi kuungana kama unavyofikiria. UKAWA ulianza vizur ila ikafikia mahali kila chama kinasimamisha mgombea

Tatizo la kukariri, kuna sentensi yoyote ambayo umeona neno UKAWA? halafu kusema haiwezekani ni utoto kwani kuna jambo gani lisilowezekana chini ya jua?
 
Tatizo la kukariri, kuna sentensi yoyote ambayo umeona neno UKAWA? halafu kusema haiwezekani ni utoto kwani kuna jambo gani lisilowezekana chini ya jua?
Sijaandika neno 'haiwezekani'hapo juu. Ila ni ngumu sio rahisi kama unavyodhan....UKAWA ni mfano hai wa muungano kama anaotaka mtoa mada
 
Tatizo la kukariri, kuna sentensi yoyote ambayo umeona neno UKAWA? halafu kusema haiwezekani ni utoto kwani kuna jambo gani lisilowezekana chini ya jua?
Kwa hali ilivyo kuungana si hiari tena ..... na act na mbatia ndo wanalazimika kujiunga kunusuru kufutika kwenye ramani
 
Kutokujua kwako ndio maana unashindwa kuelewa what is politics. Huawahi kufikiria kuwa alichokifanya Mbowe ndio kilichokusaidia kujua kuwa watanzania hawaipendi ccm?
Lowassa alipigiwa kura na wanaccm walioamua kuchagua mtu.......Chadema ina mwanachama wasiozidi milioni moja wakati CCM ina wanachama wasiopungua milioni 15!
 
Lowassa alipigiwa kura na wanaccm walioamua kuchagua mtu.......Chadema ina mwanachama wasiozidi milioni moja wakati CCM ina wanachama wasiopungua milioni 15!

Kama ccm ina wanachama wasiopungua 15 je Tanzania ina wapiga kura wangapi? akili zako ndogo zinakutuma wanaopiga kura ni wanachama wa vyama vya siasa tu? think widely
 
Hakuna Wanasiasa wa kususia Uchaguzi hasa upande wa TZ Bara!

Ukitaka kupasua vyama vya Upinzani wapelekee hoja ya kususia

Walijaribu Kwenye chaguzi ndogo lakin Moto uliokuwa unawaka wa ndani kwa ndani Chadema ilibidi Freeman abadili Gia angani

Hivi umwambie Joseph Mbilinyi Au Mchungaji Msigwa asusie kurudi Bungeni kwa hoja ya Katiba Mpya wakati anaweza kubahatisha kurudi Bungeni bila ya Katiba Mpya aendelee kula Mvinyo?

Pili Ukiwaweka baadhi ya Wanasiasa ndani ya Chama kimoja unataka kuleta Mpasuko mmoja ambao haujawahi tokea

Maalim anajiona Yeye ndio Mkubwa HaKuna zaid yake Kwenye Siasa

Freeman Mbowe anajiona Yeye ndio Mpanga Mikakati bora wa Upinzani wa nyakati zote

Zitto anajiona kwa akili zake Yeye anafaa Kuwa ndio Rais wa nchi hii

Hii Chemistry inawezekana ikaleta Mlipuko wa Hatare Sana

Taarifa nilizopata Za Uhakika Seif Sharif Hamad a nakamilisha Mikakati ya kuteka Chama kidogo Cha Siasa Kama alivyofanya Augustine Lyatonga Mrema 1999 Baada ya kushindwa kumng'oa Mabere Nyaucho Marando

Taarifa Za Uhaini huo Za Kuteka Nyara Chama zimeshafika Kwa Mutungi tayari kulinda Na kuzima Mapinduzi hayo!

Seif Hata CUF aliiteka kwa Comrade James Mapalala Na sasa Ni wakati Muafaka aende Chama chake
 
Mleta mada mjinga hata hajui kitu eti mgombea uraisi Tanzania Bara Lisu!!!!!Hakuna mgombea uraisi wa bara kuna mgombea wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Yaani wapemba na wachaga watoe pesa zao kumgharimikia maskini Tundu Lisu,!!!!Hiyo kitu hamna.Akiwa Nyalandu au Sumaye au Mbowe waweza kubali kumwaga pesa zao.Seif ana hela na wapemba wenye pesa nyuma yake Mbowe,Nyalandu , Sumaye vilevile Wana watu.Lisu Mweupe ni mchonga mdomo tu au domokaya .Chadema Mbowe ni cha wenye pesa na CuF Seif cha wapemba wenye Pesa .Chadema Lisu hamna kitu kelele tu za mitandaoni tu malofa wa kutupwa
 
Back
Top Bottom