Huu nao sio UTAPELI

Mediocrist

JF-Expert Member
Jan 27, 2015
1,597
2,000
Habari wakuu! poleni na pilikapilika za sikukuu za x-mas,ko kuna jambo mwenye uelewa hapa naomba msaada wa kulielewa zaidi hivi kwa huu ujumbe uliopo kwenye picha hapo chini sio ishara ya utapeli maana huyo jamaa anahitaji ni attach vyeti vyangu ambavyo original tena kwa msisitizo kwamba ni scann mbele na nyuma ili wafanye uhakiki ofisi kwao wa vyeti vyangu wakati Tangazo la kazi halikuwa na kipengele kuhusu kuambatanisha vyeti hii inawezekanaje maana hata email yake ya gmail inanipa mashaka na je kama haiwezekani anahitaji vyeti vyangu tena origina vyanini naomba mwenye uelewa zaidi na uzoefu anipe maelezo juu ya hili! na je kweli huo uhakiki mtu hufanyiwa anapotuma maombi au anapoitwa kwenye usahili?! ahsanteh
Screenshot_2016-12-26-20-57-02-1.png
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom