Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Serikali ikiendelea kukaa kimya hadi mwishoni mwa mwezi huu, ninaamini kuwa mawaziri husika wanashindwa kufanya kazi zao hadi wapate kauli kutoka kwa Mheshimiwa!
Maana mchakato wa kupanga vituo vya kazi ni kazi ya siku moja tu, kwani mwaka 2015 majina yalitolewa kwa kukosewa masomo ya wahitimu ambapo mtu wa Physics na Biology alikuwa anawekewa masomo ya tofauti labda Kiswahili na Kiingereza, lakini majina yalitolewa na kwa muda usiozidi siku moja yalirudishwa kwa usahihi.
Izingatiwe mwaka 2015 waliajiriwa walimu zaidi ya 30,000 na kipindi hiki wanaotarajiwa kuajiriwa hawafiki hata 5,000. Hivyo suala la kusema bado kuna mchakato wa upangaji kulingana na mahitaji ukweli wake utakuwa ni mdogo sana.