Huu mwaka umekuwa mgumu kwangu sijui nifanye nini

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Jamani mie mwenzenu naona huu mwaka 2012 umeanza vibaya kwangu, jana nilipatwa na maswahibu ya kumkuta mama mwenye nyumba yangu na mme wake wakifanya ngono mpaka kupelekea kupewa notice, sasa leo limejitokeza lingine kuna kabinti nilikuwa najipumzikia sasa kana ujauzito sasa wazazi wake wamefura kama mbogo. Hapa ninchokiwaza nikuhama mji maana hali sio
 
Mwaka umekua mgumu au umeufanya mgumu?
Nwy kwasababu tupo chiti chati sina ushauri.
 
Jamani mie mwenzenu naona huu mwaka 2012 umeanza vibaya kwangu, jana nilipatwa na maswahibu ya kumkuta mama mwenye nyumba yangu na mme wake wakifanya ngono mpaka kupelekea kupewa notice, sasa leo limejitokeza lingine kuna kabinti nilikuwa najipumzikia sasa kana ujauzito sasa wazazi wake wamefura kama mbogo. Hapa ninchokiwaza nikuhama mji maana hali sio

Tatizo sio mji Mkuu! utahama miji yote mambo yale yale. tatizo Wewe mwenyewe uliyekuwa unapanda boti bila lifeguard Jacket!! Sasa unazama unalalamika wakati ulijua wazi kuogelea Hujui?!?!
 
[/COLOR]

Mkuu ujue kwenye kuogelea mambo mengi yanaweza kutokea ikiwa ni pamoja na kuchanika kwa lifejacket nakujikuta nazama bila mimi kujijua
 
kwa nini upewe notice? kuwakuta tu wana do au kuna lingine??? au ilikuwa chabo????
 
he he he, umepanda bangi unataka uote mchicha? Nitonye unanifurahisha.
 
Niuzie mie ako kamimba.
Tuandikishane kwa mwanasheria kabisa nikupe chako.
Huku kwetu mimba/watoto dili hasa akizaliwa wakike.
 
Sasa wewe, kuwekesha mimba waweza kumbe kulea huwezi? Kwani una miaka mingapi ya umri?
 
Umri wangu unatosha kumtunza tu pamoja na kipato changu kinatosha tatizo liko kwa wazazi wanasema mwanao nimemuharibia future
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom