Huu mwaka ukiisha sijapata mwenza siji kupenda tena

Mkuu nakuona unajipigia promo na ID nyingine
Mfuate pm mkaongee vzr usitafute huruma yetu hapa
Namaanisha mentality, attitude, lower your expectations utapata bonge la mume! Waliopo humu ndio hao wa mtaani, siamini km kuna mwanaume msomi haifahamu JF
 
Kwa uzoefu wangu wa ki lobbyist RRONDO anamuelewa Miss Natafuta kwa kiasi fulani halafu Miss Natafuta anamuelewa sana RRONDO . Naweza kuamini baadhi ya juzi za Miss Natafuta zinamlenga RRONDO ila jamaa bado anakausha tu!

Ishu ipo hapa: Miss Natafuta anamsikilizia RRONDO atupe ndoano, halafu jamaa anakausha kimtindo. Mrembo anamshutua jamaa kwa nyuzi kibao jamaa kakaza.

Kwa nini jamaa akaushe? Sababu ya JF effect.

Disclaimer: Hizi ni hisia zangu tu, hayana ukweli wowote unaopaswa kuaminika!
Ha ha ha JF raha sana maanake posts zinafanya watu wanatengeneza picha za ajabu!
 
Wewe ni mateka, usiniulize nimejuaje. Usijae upepo.
Hahahaha haha hivi kuna mateka kama wewe unayejipigia promo na ID nyingine??
Ona sasa tabia za wanaume wa dar waoga kama kunguru hadi kutongoza mnashindwa Ndiyo maana wanawake wana wadharau na kuwapiga makofi
Any way Ngoja nikusaidie kutongoza
Miss Natafuta Njoo huku jamaa anakupenda ila anaogopa kukuambia
 
Mana g nilikupa chance ukapotezea. Nakupa chance tena ...nikupeleke mosh kabisa
Aise usituletee huyo kiumbe huku kwetu waachie wanaume wa dar
Atakutesa Sana tafuta huku huku Nyumban achana na kyasaka
 
Back
Top Bottom