Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,006
- 11,309
Njoo kwenye sinagogi ninalosalisha na wiki haitapita utaleta ushuhuda hapa.
Mniombee tu
Ahahaaa mi Na Rrondo? Aisee kijana wa watu atakosa pumziKweli kabisa, alafu miss alishawahi kuota. Tufanye maombi.
Ahahaaa mi Na Rrondo? Aisee kijana wa watu atakosa pumzi
Kwa uzoefu wangu wa ki lobbyist RRONDO anamuelewa Miss Natafuta kwa kiasi fulani halafu Miss Natafuta anamuelewa sana RRONDO . Naweza kuamini baadhi ya juzi za Miss Natafuta zinamlenga RRONDO ila jamaa bado anakausha tu!
Ishu ipo hapa: Miss Natafuta anamsikilizia RRONDO atupe ndoano, halafu jamaa anakausha kimtindo. Mrembo anamshutua jamaa kwa nyuzi kibao jamaa kakaza.
Kwa nini jamaa akaushe? Sababu ya JF effect.
Disclaimer: Hizi ni hisia zangu tu, hayana ukweli wowote unaopaswa kuaminika!
Na huu mwaka tumekutafuna sana
Aliyekuzalisha anakutosha. Ukabanane nae huko huko na first lady wake.
Tatizo ulikuwa unawapa wanaume wa dar nyapu yakoMbona hamkunipa mimba kama nyie vidume