Huu mwaka ukiisha sijapata mwenza siji kupenda tena

Hela ya Christmas inatafutwa kwa mbinde, anatafutwa mtu hapa punde kuna kidume kitakuja na Uzi wa kuwalaumu wanawake wa jamii forum.


Ndukiiiii
 
Tuendelee na maombi mkuu, labda nshomile akalegeza kamba.
Kwa uzoefu wangu wa ki lobbyist RRONDO anamuelewa Miss Natafuta kwa kiasi fulani halafu Miss Natafuta anamuelewa sana RRONDO . Naweza kuamini baadhi ya juzi za Miss Natafuta zinamlenga RRONDO ila jamaa bado anakausha tu!

Ishu ipo hapa: Miss Natafuta anamsikilizia RRONDO atupe ndoano, halafu jamaa anakausha kimtindo. Mrembo anamshutua jamaa kwa nyuzi kibao jamaa kakaza.

Kwa nini jamaa akaushe? Sababu ya JF effect.

Disclaimer: Hizi ni hisia zangu tu, hayana ukweli wowote unaopaswa kuaminika!
 
Nitumie namba zako PM nikutafute mwenyewe nazan hii itakuwa siyo jf.
 
Watu hawana habari na singo MAZA na usawa huu hela ya xmas ya mtoto na mama hujakaa sawa january mtoto ada
 
Unaishi wap? Mimi nipo kigamboni tuchekiane 076682...........nitakupenda ulivyo na mimi nipo vzr njoo pm nimalizie no usipuuze mkuu
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom