Huu Muziki wa Kijeshi wa China siyo mchezo: China sasa hivi siyo ya kuchezewa wako fiti

Pamoja na ypte nayo China bado sio nchi rafiki kwa kuishi kule ...unaeza kura unakosa mtu wakuongea Naye ni Mara kumi ustay zako tu America kuliko China...

Marekani bado ni first priority kwa raia wengi kwenda kuishi kule, kwa nini wasiende uko china, ata wewe mtoa mada na uhakika una mzuka sana wa kwenda apo USA.
 
Aaah mataifa rafiki kwenda ni Japan,UK,France n.k n.k na haya mataifa hayana ubaguzi.
China haina utofauti na USA kote usipokuwa bepari ama mtu mwenye fedha utataabika na segragation zote.
 
Aaah mataifa rafiki kwenda ni Japan,UK,France n.k n.k na haya mataifa hayana ubaguzi.
China haina utofauti na USA kote usipokuwa bepari ama mtu mwenye fedha utataabika na segragation zote.
Labda China aise ..USA Kila mwaka wanatoa nafasi zaid ya 50k kwa kupitia loterry green card kwa raia yeyote kwenda kuishi na kufanya kazi uko ..hii huduma hupati popote ni USA tu..
 
Wenye hela ni minority,mimi nazungumzia majority ambao milo mitatu ni kazi,roof is leaking,mshahara haufiki mwisho wa mwezi etc,etc

Bongo ukiwa na hela za kawaida tu
unaweza kuajiri mlinzi(mmasai) , Housigeli, dereva wa kukuendesha, shamba boy.

Hivyo vitu ukiwa Marekani labda uwe na pesa ndefu ndefu mno ndo unaweza kuwa navyo
 
Bongo ukiwa na hela za kawaida tu
unaweza kuajiri mlinzi(mmasai) , Housigeli, dereva wa kukuendesha, shamba boy.

Hivyo vitu ukiwa Marekani labda uwe na pesa ndefu ndefu mno ndo unaweza kuwa navyo
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo
 
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo

Hata huko walinzi wanao, kama vile bodyguards, chaffeur (driver), maidens ( wafanyakazi wa ndani), Lakini wenye kuwa nao hao ni watu wenye hela ndefu sana, huwezi kuwa na hela yako ya kubeba boksi ukaweza kuafford kuwa nao hao
 
Hapa mlinzi anakulindia nyumba/kampuni yako mwezi mzima unamlipa dola 40 mpaka 50 tu au ukipenda Unafuga German Shepherd unamlisha kilo ya mabaki ya nyama ambayo haifiki hata dola 1 per day, budget ya siku elfu kumi mpaka 20, House girls wa kumwaga tena kwa bei chee...vitu hivi huvipati marekani...umeona raha ya Tz Bro :D:D ukiwa na pesa unaenjoy life freshi tu kuliko anaeishi ubeberuni...

Ollachuga Oc
 
WEWE bana,sasa majuu mlinzi wa nini? housegirl wa nini?,dereva wa nini? Hayo mambo yalikuwa yanafanyika miaka 100 iliyopita-Bongo maendeleo yakija hayo mambo tutaachana nayo
Mmmmh bro hii ni kamba.
Wataka nambia Bill gates hana housemaid ??
Mtu mwenye hela lazima aajiri mlinzi,Gardener,housemaid na chef ikiwezekana kabisa.
 
Mimi Passport ya bongo inantosha mkuu ukiwa bongo unaweza kumiliki ardhi maheka na maheka ukapiga kilimo, ufugaji, ukajenga kijumba chako cha gorofa kadhaa.

SASA HEBU KAJARIBU KUWA NAVYO HIVYO VITU UKIWA CHINA AU MAREKANI UONE KAMA UTAWEZA
Muongo
 
Huyo Marekani wako unayemhusudu ashakutana na Mchina huko Korea miaka ya 50s

Marekani alikuwa amebakiza kilometa Chache tu aikamate Pyongyang.

Mchina alipoingilia kati tena bila ya kuwa na misilaha mikubwakubwa alimsogeza huyo Marekani kutoka Pyongyang kuelekea eneo ambalo leo ipo hiyo inayoitwa Demilitarized Zone (DMZ), Tena kama Marekani asingeomba po kupitia UN, Mchina na mshirika wake yaani North Korea walikuwa wanaelekea Seol fasta sana!.

Marekani na madudedude yake keshachezea kichapo huko Vietnam, Nenda kagoogle kitu kinachoitwa Tet Offensive Au katafute information jinsi wanajeshi wa Marekani na washirika wa marekani walivyokuwa wakikimbizana kama kuku pale wanaume wa Vietcong walipokuwa wanasonga kuelekea Saigon.

Hao wamarekani wako bila kwenda na allies zenye nguvu kubwa kijeshi kama vile Muingereza huwa hawana uhakika wa kushinda vita.

Hata huko Afghanistan, Huyo Marekani wako ameshindwa kuishinda Taleban, na Taleban wanashikilia eneo zaidi ya aslimia 70 ya nchi nzima, halafu unaleta habari za Marekani?
WANAKUELEWA ila sema movie za kina Sylvesta Stallone,Anold Shwarznnneager na Jean Claude Van Damme zimewaingia sana mioyoni mwao.
 
Mchina hatengezi engine za Ndege anacopy,Marekani anatengeza zake.

Mchina hatengenezi chips zinazotumika kwenye super computer,wanatumia za kutoka kampuni za Marekani,Intel nk.

Mchina hana missile warning systems, Marekani anazo za kwake na anatengeza mwenyewe.

Mchina hana stealth bombers, Marekani anazo.
Una uhakika gani hawana??
We jipe moyo China kijeshi sasa hv habari nyingine.
Muulize USA kwanini alipunguza majeshi south China sea.
 
Wachina wana akili sana na Wanajua kukopi na kupesti teknolojia ya USA na russia .
Wasomi wao vijana wakimaliza elimu za juu wanarudi kwao kuendeleza hawabaki USA na kujisahau kama Waafrika 😄
Wachina ni wazalendo kweli .
India alirusha chombo Kikaenda mars Lakini kilibaki juu hakikutua , China ikarusha vyombo viwili kwenye mwezi kimoja kikatua nyuma ya mwezi ambapo Hakuna taifa lingine limefanya hivyo .
Tena akarusha chombo mars kikatua kufanya utafiti
Tena amejenga kituo cha Anga za juu kufanyia utafiti
Hivyo naada ya USA anafuata mchina duniani kiuchumi , teknolojia ,
 
Mzee every govt is inherently evil!

On this planet,only nation anyone can go and become anything ni only United States of America!

Halafu elewa,America ina uphold misingi yote ya haki na kila kitu kwa Wamarekani tu,sio wanadamu wa mataifa mengine!

Hivyo wanavyoenda kuua mataifa mengine huko,kwa concept ya American Nationalism ni sawa!

Atleast USA ina treat raia wake kwa haki zote!

Kuhusu Weusi kubaguliwa na kuuawa na askari polisi sababu unazijua na chanzo chake unakijua,serikali kama serikali haihusiki wala haina sera za ubaguzi kama system ya oppression!

Wananchi binafsi kubaguana ipo na serikali haihusiki!

USA ndio the only country anyone from anywhere can be anything!
Nisamehe mkuu, huu mtazamo wa kuua watu wasio wa taifa lako kwa manufaa ya watu wako, ni wa kishenzi. Pili, Marekani ni taifa ambalo raia wake wanauawa sana na bado mfumo wao wa haki ni mbovu sana. Marekani karibu kila siku watu 100 wanakufa kwa kupigwa Risasi, na still they walk free. Lile ni taifa la kibepari. Mnyonge kule, nobody cares for you.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom