Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,090
Naona unaisema US kiuoga uoga...!!!isiyojali haki za wanadamu
Wa kawaida sana, ukilinganisha na wababe wenzake kama USA na RUSIA... ila kwetu huku huo ni mziki haswaaa ... ambao hatuwezi kuucheza
China as a nation under the root of all evils CCP makes me sick!
Nchi isiyojali haki za wanadamu sio nchi,ni mavi kama mavi mengine!
Bro bora USA kuliko China ..bora akubague mzungu wa USA kuliko mchina wa uchina, hayo mawatu sio mabaguzi tu ni makatili kabisa, muzungu anaeza kukubagua lakini akakupa haki yako furesh ..sasa miwatu ya mimacho midogo ni mashetani hadi mwisho..In the last 50 years Marekani kaua watu wengi zaidi duniani kuliko mchina
Kaua watu milion Iraki
Kaua watu zaidi ya Milioni Vietnam kwa vita bogus
Kaua watu kibao wasio na hatia Afghanistan
Huko Marekani Black people bado wanabaguliwa kimya kimya, rejea mashambulizi ya mapolisi dhidi yao!
Hiyo USA unayoihusudu ni biggest violator wa haki za kuishi za watu duniani
Kwaiyo kipindi mchina anapiga Marekani atakuwa amelala ? China bado hajafikia uwezo wa Marekani bado.. isipokuwa USA na CHINA vita ikitokea hao watapigana, ila mchina atapigwa, nae Marekani atashinda ila hali yake kiuchumi itakuwa mbaya..... hizo 5 generation kwani anazo peke yake ? Even USA anayo madude ya kupiga bara to baraNaona unavichukulia poa hivyo vyombo
Hapo kuna Dongfeng-17 hizo ni hypersonic missiles, inaweza kupiga Aircrfat carrier yoyote ya Marekani hata zilizoko huko Guam, Kwa sasa Marekani hana bado hiyo kitu
Pia hapo kuna Dengfeng 41- Hiyo inaweza kwenda umbali wa km 12000 hadi 15000 na inabeba warheads 10 na kila moja inaweza kupiga target tofauti. Hiyo ni strategic missile ya kubeba vichwa vya nyukilia na inaweza kupiga target yoyote ndani ya Marekani.
Vita vya ardhini kwa sasa Mmarekani hatii mguu, sasa hivi China ana 5 generation Stealth aircraft zinazoitwa J-20 na yupo anatengeneza Aircraft carrier zake mdogomdogo.
Mpe miaka 10 tu mtamulewa!
Bro bora USA kuliko China ..bora akubague mzungu wa USA kuliko mchina wa uchina, hayo mawatu sio mabaguzi tu ni makatili kabisa, muzungu anaeza kukubagua lakini akakupa haki yako furesh ..sasa miwatu ya mimacho midogo ni mashetani hadi mwisho..
NB: Marekani atabaki kuwa baba wa dunia kwa miaka mingi ijayo ..hizi Russia, China cjui Iran wanarukaruka tu...
Sema chief una mahaba kweli yani alafu pia una chuki na kwa mantiki hiu ni ngumu wewe kujadili hoja rationally sababu mara zote maneno yako yanaakisi chuki uliyonayo dhidi ya USA na mahaba uliyonayo kwa wachina, mfano umesema wachina wapewe miaka mingine 20 watakuwa wamempita USA swali ni je USA yeye atakuwa amesimama au yeye ataacha harakati zake za kuendelea kujijenga? Jibu ni hapana kama china anavyojijenga uku akiota na kutamabi kuwa kama USA, basi na USA mwenyewe halali wala hapumzik,i anapambana ili siku zote aendelee kuwa wa kwanza, ivyo izo unazosema wewe ni ndoto ambazo haziakisi uhalisia wa mambo ulivyo.Ilichukua marekani miaka 300 kuwa hivi ilivyo tena kwa kufanya udhalimu mkubwa kama vile biashara ya utumwa, kuua wahindi wwkundu mamilioni, kupiga nchi nyingine kuiba resources, lakini China haijafanya udhalimu kama huo,
imewachukua wachina miaka 70 tu (japo ni taifa kongwe duniani, hata misri nao ni taifa kongwe pia lakini hawana kitu)
Wape wachina miaka mingine 20 uone shughuli yake
Hao unaowaita wavimba macho wamekujengea reli ya TAZARA na walikusaidia mno kwenye vita ya Kagera
Sema chief una mahaba kweli yani alafu pia una chuki na kwa mantiki hiu ni ngumu wewe kujadili hoja rationally sababu mara zote maneno yako yanaakisi chuki uliyonayo dhidi ya USA na mahaba uliyonayo kwa wachina, mfano umesema wachina wapewe miaka mingine 20 watakuwa wamempita USA swali ni je USA yeye atakuwa amesimama au yeye ataacha harakati zake za kuendelea kujijenga? Jibu ni hapana kama china anavyojijenga uku akiota na kutamabi kuwa kama USA, basi na USA mwenyewe halali wala hapumzik,i anapambana ili siku zote aendelee kuwa wa kwanza, ivyo izo unazosema wewe ni ndoto ambazo haziakisi uhalisia wa mambo ulivyo.
USA budget yao ya jeshi ni 600s billion $
China wapo na 250B $
Wachina wako vzr ila bado wana distance ndefu kumfikia mmarekani
ICBM zote zina hypersonic speed!Naona unavichukulia poa hivyo vyombo
Hapo kuna Dongfeng-17 hizo ni hypersonic missiles, inaweza kupiga Aircrfat carrier yoyote ya Marekani hata zilizoko huko Guam, Kwa sasa Marekani hana bado hiyo kitu
Pia hapo kuna Dengfeng 41- Hiyo inaweza kwenda umbali wa km 12000 hadi 15000 na inabeba warheads 10 na kila moja inaweza kupiga target tofauti. Hiyo ni strategic missile ya kubeba vichwa vya nyukilia na inaweza kupiga target yoyote ndani ya Marekani.
Vita vya ardhini kwa sasa Mmarekani hatii mguu, sasa hivi China ana 5 generation Stealth aircraft zinazoitwa J-20 na yupo anatengeneza Aircraft carrier zake mdogomdogo.
Mpe miaka 10 tu mtamulewa!