muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 728
- 600
Kumekua na hii tabia sasa kila mahali....mtu anapofeli katik mambo yake anaanza kusema serikal hii bwana,au hi yote ni CCM..
Tuache hio kasumba...mtu hata akikosa hela ya Kodi analalamikia serikali....kwa ss tuliona awamu kadhaa za madaraka hakuna utawala ambao haukua na lawama..huyu jk anaeonwa Leo alikua mzur watu walimponda pia...sasa tuache maneno tufanye kazi...
Tujitume, mafanikio yatakuja taratbu shida unakuta mtu amemaliz tu chuo anatak apate ajira..ajenge awe na gar na mtoto mzuri...wakat wengine tunakomaa na game tangu way back....kila kitu kinakuja taratbu tuu achen papara ya maisha Apo ndo mnapofel na lawama zinaanguka kwa serikali wakati wewe ukipata laki unatak kwend kununua jeans ya kubana mapaja na kunywa pombe asubui anaanza kuilaumu serikal...