HB.com
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 607
- 638
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanaliwa hayo matunda au?Kwa kiswahili sijui unaitwaje ila kwa Kisukuma tunauita Ngw'icha. Moja kati ya kazi zake ni kuongeza Damu kwa haraka sana
Ukiyatoa yanakuwa ka mihogo iliyokomaa sana, hapo lilipo kuliangua kwa mawe ni shughuli pevu, huwa yakikauka yanaanguka yenyeweYanaliwa hayo matunda au?
Mkuu una uhakika gani kua alitaka kuandika hilo neno? Japo unaweza kua sahihi ila next time toa suggestion tu na sio urekebishe moja kwa moja.Soussage= sausage