Huu mti unahusishwa na suala la ushirikina. Je, kweli?

Halafu tukiitwa shit shimo tunamaind

Kwahio mti ulienda kukopa

Mti ukaleta mgogoro
Mti ukauza nyumba

Hakuna sababu zingine kweli mnausingizia tu mti?
*mbaazi zikikauka.......*
Hili kweli ni shimo la choo mkuu, tena shimo lilojaa na bado linatumika, eti mti wa mikosi...mammae! Mtaani kwangu ipo kibao tu na watu wana amani zao, hapo nyumba ya pili umezeeka mpaka wameamua kuukata juu ukabaki kama mwamvuli wanapumzika chini ya kivuli lakini wako safi tu! Wewe mambo yako yakuendee kombo usingizie mti?
 
Daah hii ya kuhisiana uchawi imeikumba familia yetu, mpaka sasa familia imesambaratika kabisa kisa kutuhumiana uchawi.

Na ni kweli huo mti upo nyumbani.

Nikirudi naenda kuukata haraka sana hata kama siamini inanibidi nifanye hivyo.
haaaa haaaaa jamani nimecheka eti unaenda kuukata haraka sana
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Pole sana, we ni mgumu kuamini haya mambo kama mimi. Ila kuna wakati mambo mengine hutokea.
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Kaka ingekuwa hivo nadhani MWADUI na mgodi mzima wa Williamson ungeshaparaganyika na familia zingesha paraganyika hata almasi zingekimbia maana humu ipo kibao,
Aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
 
Duuùuu pole mkuu
Mwaka Jana nilipata misuko suko balaa km ya huyu jamaa
Lkn nyumbani kwangu sijapanda mti huo, na bahati mbaya ningekuwa na mm nimeoanda mti huo yamkini ninhesema ni sababu yake,
Yapo mambo hutokea kwa bahati mbaya ama nzuri na tunayahusisha na imani,
 
Jamani hizi imani mkiziendekeza mtaharbikiwa kwa ujinga tu. Msiamini vitu visivyokubalika. Nina mti kama huo kwa miaka zaidi ya 10 na maisha yanendelea tu
Mwanamke akila mayai anazaa mtoto mwenye upara,
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Pole sana ndugu! Jipange upya huku ukimtanguliza Muumba.
 
Shithole country imeingiliana vipi hapa,mzungu akisema wewe ni mavi kabisa na wewe unasema mimi ni zaidi mavi acha ujuha, mambo ya giza duniani hakuna? Yani watu kama nyie mnakuaga waoga mikia ufyta kama mbwa koko ....

ah ah ah unijui na sikujui so usihukumu km mm muoga au laaah, basi kausha man
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Sasa umeukata huo mti ?
 
Kaka ingekuwa hivo nadhani MWADUI na mgodi mzima wa Williamson ungeshaparaganyika na familia zingesha paraganyika hata almasi zingekimbia maana humu ipo kibao,
Aliwazalo mjinga ndilo litalomtokea
Bahati mbaya sikuwahi kuwaza na kuuogopa hata kidogo,na hadi nimeuza nyumba kutokana na changamoto sikuwahi kuwaza kuwa hiyo miti ni sababu,ila miaka kadhaa baadae ndipo niliona habari za mti huu na kufuatilia maelezo kwa makini,sikuwa tena mbishi kwani yaliyokuwa yakizungumzwa ni kama aliona yaliyokuwa yakinitokea!Nililazimika kuamini na sitaupanda tena ijapo niliupenda sana awali.
Ila naamini watu werevu kama wewe msingejulikana bila wajinga kama sisi kuwepo.Asante
 
Back
Top Bottom