Huu mti unahusishwa na suala la ushirikina. Je, kweli?

Narudia tu kusema, pale Mbeya upo, ndoa ilisambaratika. Hadi Leo hata huyo mwanaume niliyemuacha maisha yake ni mikosi tu.

Pili aunt yangu ni mwaka jana mwezi oktoba binti yake wa miaka nane kajinyonga ndani ya nyumba yao. Nje hilo limti lilikuwepo Ila wameshaukata.

Hii ndoa ndio yule Engineer uliyemtakia RIP au?
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.

Basi haujakudhuru kabisa mkuu..wewe mwenyewe ni shahidi
 
Narudia tu kusema, pale Mbeya upo, ndoa ilisambaratika. Hadi Leo hata huyo mwanaume niliyemuacha maisha yake ni mikosi tu.

Pili aunt yangu ni mwaka jana mwezi oktoba binti yake wa miaka nane kajinyonga ndani ya nyumba yao. Nje hilo limti lilikuwepo Ila wameshaukata.
Kweli shetani kakupata
 
daah hizi imani ndio mana tunaitwa shithole country, yaani Mungu amukupa akili na uwezo wa kuchanganua mambo ktk maisha yetu, unakuja kupumbazwa na ujuha wa imani za kishirikina
Mambo ya uji wa muhogo haya!
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Mzee ushafanya tafiti na wale wenye mikosi kama yako na hawana miti hiyo je kuna miti mingine mi ushuhuda mtu mwenye miti hiyo amefanikiwa vibaya mno matatizo yetu tukiyausisha na miti tunarudi kubaya zaid ni mchungaji ndo sera zake izi
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Asanteni kwa kunishtua,pale kwangu mimi bado midogo iko kama 6 hivi,ila kwakuwa mimi napiga sana maombi nahisi ushirikina wake unagonga mwamba,sasa naenda kuimwagia damu ya Yesu na nitaiacha nione kama kweli inaweza kushindana na nguvu za Mungu...
 
Habri wana jamvi.. Kuna huu mti unatumika Sana Kama mapambo na View attachment 413729kivuli ktk nyumba zetu.. Kuna mgen alinitembelea akanambia Mti huu unahusishwa na ushirikina. Mikosi magonjwa na nuksi ktk nyumba. Kwa anaejua ukweli au tusaidiane kutafiti
Umbrella tree, huenda ni kweli maana ni mti mzuri sana kwa kivuli ila watu wengi hawapandi majumbani
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Pole sana sana mkuu,je huo mti bado upo eneo la nyumba uliouza? Na je mnunuzi hajapata maswahibu katika maisha yake? Tusaidieni ushahidi tusijefanya makosa maana vijana wengi tunaojenga kipindi hichi tunapenda miti ya vimvuli na huwa tunaipanda mapema kabla hata ya ujenzi kuanza
 
Jamani hizi imani mkiziendekeza mtaharbikiwa kwa ujinga tu. Msiamini vitu visivyokubalika. Nina mti kama huo kwa miaka zaidi ya 10 na [red=color]maisha yanendelea[/color] tu
Maisha lazima yaendelee mzee, ila changamoto zinazoletwa na huo mti ndiyo tunazitaka hapa..
 
daah hizi imani ndio mana tunaitwa shithole country, yaani Mungu amukupa akili na uwezo wa kuchanganua mambo ktk maisha yetu, unakuja kupumbazwa na ujuha wa imani za kishirikina
Shithole country imeingiliana vipi hapa,mzungu akisema wewe ni mavi kabisa na wewe unasema mimi ni zaidi mavi acha ujuha, mambo ya giza duniani hakuna? Yani watu kama nyie mnakuaga waoga mikia ufyta kama mbwa koko ....
 
Back
Top Bottom