Huu mti unahusishwa na suala la ushirikina. Je, kweli?

Ni panga uzazi, maana yake hautoi matawi hovyox2, yanatoa kwa awamu na uzazi mmoja hutambaa pamoja.
Hiyo ya mikosi ni kuwa watu hudhani ukipanda nyumbani mizizi ikaingia ndani basi wewe na mkeo mlizaa hovyo basi watu wanakufa. Hasa wajaluo huamini hivyo.
Haina ukweli wowote, nyumbani kwangu nimepanda zaidi ya 15
Ili nikuamini... niambie unaitwaje kwa kijaluo...??!!
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Acha ujuha wewe..!!
Kwa hiyo unaamini kweli kuwa familia imesambaratika kwa sababu ya huo mti??
So vipi uliikata then mikosi ikaisha?
Imani zako za kipuuzi zitazidi kukuvuruga kisawasawa...bila shaka tayari umeshaanza kutembea kwa waganga na wamekuparua kweli kweli!
Nakuonea huruma sana kwa huo upuuzi unaoamini, jinsi utakavyozidi kuvurugika kama utaendelea kuamini mti ndio ulisababisha hayo!
 
Imani mbovu mbovu.. Zaidi ya miaka 30 huu mti upo home. Hatuna mikosi wala kufarakana. Tunaishi maisha mazuri na wazaz pia wana maisha yao safi kabisa.tunayo miti hiyo 10 but hamna mkosi hata mmoja.

Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
 
Narudia tu kusema, pale Mbeya upo, ndoa ilisambaratika. Hadi Leo hata huyo mwanaume niliyemuacha maisha yake ni mikosi tu.

Pili aunt yangu ni mwaka jana mwezi oktoba binti yake wa miaka nane kajinyonga ndani ya nyumba yao. Nje hilo limti lilikuwepo Ila wameshaukata.
 
nasikia kama watu wameoana then ikitokea wakapanda huo mti nje ya nyumba basi kutatokea ugomvi ambao suluhu yao ni mmoja wao kufariki, cc mshana jr anajua zaidi
 
ni kweli halafu ikipandwa hyo nyumba hamtapatana milele familia itakuwa ya kulumbana tu na kuhisiana uchawi kingine jinsi mlivo kiumri ndivyo mtakavyokufa yaan anaanza mkubwa anamalizia mdogo
 
Daah hii ya kuhisiana uchawi imeikumba familia yetu, mpaka sasa familia imesambaratika kabisa kisa kutuhumiana uchawi.

Na ni kweli huo mti upo nyumbani.

Nikirudi naenda kuukata haraka sana hata kama siamini inanibidi nifanye hivyo.
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
hamkua na migogoro, hukua na madeni ila ulivopanda tu mti familia ikasambaratika na nyumba kuuzwa aseeee!!!
 
nimeshasikia habari kama hizi kwa baadhi ya miti...

mti wa mbilimbi na mti wa hina ni miti yenye kuleta mikosi na bahati mbaya kwa wakazi wa hiyo nyumba..

maua ya jasmin ile harufu yake inaita majini...

mti wa mkungu ni makazi ya majini..

kwa upande wangu sijawahi kuthibitisha ukweli ni upi, ivyo naona ni iman potofu kwa jamii isiyo elimika...

Acha ubwege, waarabu wanapanda mihina inakaa miaka na miaka ila hiyo mikosi unayosema hakuna, Jasmin pia ila mikos hakuna.., Acheni iman potofu
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.
Pole sana Mkuu!
 
Tangu inaanza kusambaratika si ungeukata!
 
daah hizi imani ndio mana tunaitwa shithole country, yaani Mungu amukupa akili na uwezo wa kuchanganua mambo ktk maisha yetu, unakuja kupumbazwa na ujuha wa imani za kishirikina
 
Mh!Africa ya Nkurunzinza,Josee Kabila,Kaguta Museven,Omary El Bashiri.Yahya Name walimkurupusha akajiondokea zake.sasa hizi iman za kijinga sijui zitaisha vip huku kwenye nchi zetu za "shit-hole". Asante Trump kwa kuona mbali..
 
Mkuu,niliipanda pia kwenye nyumba yangu,nikaambiwa tahadhari hiyo ila nikapuuza vikali.Leo hii ninavyoongea,familia yangu imesabaratika,maisha yalivurugika vibaya hadi niliuza nyumba,mikosi iliyotokea nusura maisha yangu na ya mwanangu yapotee.Ni kwa neema ya Mungu tu nipo hadi sasa.Nalazimika kuamini ingawa mimi ni mgumu sana kuamini vitu hivyo.
Na pia imenipa changamoto ya kuyatizama maisha kwa namna tofauti sana na nilivyoyatizama awali.Kweli dunia hii ina mambo magumu sana,nikipita kwenye nyumba yangu hiyo,huwa machozi yananilenga na macho hubadilika kuwa mekundu..maumivu huwa makali moyoni hasa nikikumbuka jinsi nilivyowapenda wanangu..niliuza kila kitu mf.gari na kugawa vingine.Nilipata mikosi kazini na kufikishwa mahakamani.Nashukuru Mungu nilishinda kesi na naendelea na maisha.

Pole sana mkuu,

Una uhakika gani ni kwa sababu ya huo mti??
 
Back
Top Bottom