Huu mti umeanza kutoa maua baada ya miaka 20, niukate au niuuze kwa gardeners?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,023
40,693
Huu mti ni aina ya Cactus kama sikosei, tangu ulipopandwa mwaka 1999 sikuwahi kuuona ukitoa maua, hadi leo ndio nimeona maua yake. Tunatakiwa kuuondoa ili kupisha ujenzi, kuna mtu anautaka nimuuzie?
20191204_094115.jpg

20191204_094417.jpg
 
una kazi gani mkuu? naiona sana hii miti na huwa naichukulia poa, maporini huko ktk harakati za kuchimba dawa kwa sisi wasafiri kafiri. kama ni deal tufahamishane fursa
 
Palikuwa na ukungu..,
Hapo sawa asee maana mi naona makuti ya mnazi tuu.
Hivi kwani huo una faida gani mana hata matunda hautoi bora ule mwingine upo kama huo huo unakiwa bapa na vi miiba unatoa matunda ya njano na yanaliwa
 
Nilitaka nikuulize swali kama ilo Ila nika tune macho yangu kwenye lens ya 3D
Miaka mingi sana kama sikosei nilikuwaga ninaona kijijini kama kichwa kinauma Sana wana chukuwa mkavu ulio kauka unachomwa kidogo unavuta moshi wake kwa njia ya pua kichwa kinatulia nilikuwa ninaonaga huu na mti mwingine Ila huu ndio ulikuwa kiboko!
 
una kazi gani mkuu? naiona sana hii miti na huwa naichukulia poa, maporini huko ktk harakati za kuchimba dawa kwa sisi wasafiri kafiri. kama ni deal tufahamishane fursa

MEDICAL BENEFITS of the prickly pear nopal include:
  • Treating constipation and acting as a natural laxative
  • Strengthening the immunity of the body
  • Reducing and preventing inflammation in muscles along the body, from those in the gastrointestinal tract to the muscles in the bladder
  • Reduces cholesterol levels in the body
  • Stabilizes glucose and insulin levels in the body
  • Acts as a source of anti-oxidants
  • Helps treat gastric ulcers
  • Can be applied topically to heal wounds, scrapes and insect bites
  • Helps in reducing the effects of drinking too much alcohol
 
Biggs,
sasa unatumikaje hapo ndio pagumu mkuu, unatafuna? unaunywa kama supu? unauchoma? lakini umenisaidia sana mpaka hapa, nitazidi ufuatilia kwa ukaribu, shukran mkuu
 
Miti hiyo kama sijakosea inapandwa au inawekwa kama alama mahali alipozikwa mtu.

Akili zangu changanya na zako!
 
Natamani hiyo cactus maana kwa bei yake tu ungekuwa na hela nyingi sana kwa ulaya
Yaani 90cm urefu ni laki 2 na ushee sasa imagine hapo una kama millions zote
Mkuu zalisha zaidi tu kwenye pots na uuze
IMG_1566.jpg
 
Hapo sawa asee maana mi naona makuti ya mnazi tuu.
Hivi kwani huo una faida gani mana hata matunda hautoi bora ule mwingine upo kama huo huo unakiwa bapa na vi miiba unatoa matunda ya njano na yanaliwa
Kuna nchi nimeisahau wanaasili kama wachina hiyo inapandwa Kwa biashara kama ilivyo kwetu korosho, pamba nk
 
Back
Top Bottom