SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
ila watani zangu mna utaalamu mnaweza kula ugali mkavu na picha ya samaki..hahaha
ila watani zangu mna utaalamu mnaweza kula ugali mkavu na picha ya samaki..hahaha
hivi mwili katika mmeng'enyo samaki au dagaa wataonekana kweli kwenye process ?
Hahahaa nasikia hao dagaa hawatafunwi, unafyonza ugali ukiisha wanaoshwa na kuanikwa tayari kwa matumizi ya baadae. Ole wake mtoto akosee step amvunje au kumtafuna...