Huu msemo una maana gani?

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
649
1,116
Leo wakati narudi nyumbani jionii hii, nimeona dalala imeandikwa kwa nyuma "UTAMU HAUNA SIRI" nimejaribu kutafakari huu msemo nazidi kuumia kichwa.

Karibuni mnisaidie.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom