Huu mradi ni hatari kwa kizazi cha Watanzania

MR.NOMA

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
338
502
Wadau,

Juzi nikiwa Iringa town na wadau tunapata kinywaji, akatokea mdau mmoja naye anapata kinywaji, katika stories akaanza kutueleza juu ya mradi mpya walioupata katika Shirika lao.

Mradi huo ni kuwatambua machangudoa na mashoga pia kuwawezesha kiuchumi kidogo na kuwagawia vilainishi ili wasichubuke wakati wa gemu.

Akijibu maswali yetu alisema mradi huo wameufanya kutokana na tafiti za wizara ya afya nchini hasa ile iliyobaini kuwa kundi hili la watu lipo hatarini kuambukizwa VVU kwa urahisi.

Hofu yangu, Hii kuwapa vilainishi na hela isjije ikawa inaingiza kwenye taifa la ushoga.
 
Hii ilishawahi kuletwa hapa jukwaani.
Watu waliasa sana hivi vitu vya 'kwa hisani ya watu wa Marekani'. Ndani yake kuna mambo ya laana kupindukia...
 
Ufadhili utakuwa ni kwa hisani ya watu wa marekani........ Wanajarib kupitisha hiz tabia polepole zikishakuwa ndio waanze kuzipitisha kwenye katiba. Maoni yangu ni kwamba , hili ni janga la kitaifa... Na hii ishu haifai kabisa.
 
Kwa mujibu wa muhusika anasema mikoa zaidi ya 3 ipo mbioni mradi huo kuanza hivi karibuni.Muhusika anasema ni lile NGO iliokuwa inakata magovi watu sasa imeandika mradi huo na kupata mahela hayo.Alisema wataanza kuwasaka vyuo vikuu hao mashoga, watatumia kila njia na ushawishi mpaka wawapate na kuanza kuwapa huduma, pia watatoa ushauri kwa wazazi wa wahusika ili watambue kuwatenga hao watoto ni kosa.
 
"Kwa hisani ya watu wa marekani"

Yan hawa wamarekan wanashangaza sana badala ya kutafuta suluhisho au utatuzi wa hawa watu ili waache ushoga wao wanaleta vilainishi ili mashoga waendelee na ushoga ..

Wamarekan hawana Upendo kwetu Bali wanataka watuangamize kabisaa

Aaaaagghhhhh:mad::mad::mad:
 
Ukiambiwa wamarekani ni Taifa la ki illuminata utakataa? yaani hawa jamaa muda wote wanaplan kuingiza ushetani wao Tz kama walivyofanya Kenya ...ilo shirika lifungwe tu warudi kwao
 
Lakini mbona hii hizi NGOs Zipo nyingi tu na miaka mingi?
Sema tu wanatafuta namna ya kuchomoka watambulike zaidi

Kunamoja kaama nyie ni wafuatiliaji wa Kipindi cha USWAZI,Zembwela alienda kukiibua.
Na majirani waliulizwa wakasema pale wanaoenda ni mashoga watupuu.Ila Leseni iliyoombwa ni ya kitu kingine.

Walipoulizwa wao walisema kwamba wanafanya ushauri wa Vijana hao kuacha huo mchezo,lakini cha kushangaza baadhi ya NGOs hizo wanagawa na Condoms,sasa hapo ndio akili kumkichwa.

Ila kuna watu wanapiga hela Ndefu sana
 
Mnyetishaji huyo alizidi kutema sumu pale tulipo muuliza nini hasa nafac yao katika kukomesha ushoga tz,ndipo akasema wao hawawezi kukampeni kukomesha kwani hakuna sheria tz inayowazuia watu kufanya hiyo kitu.akasema binadamu mtu mzima ana uhuru wa kutumia mwili wake atakavyo.na hivyo ndio wanawashauri wazazi wawakubali watoto wao wasiwatenge huo ni uhuru wao.NAUMIA SANA, NIKIWAZA WATOTO WETU NA WAJUKUU, KIZAZI KITAKUWAJE, NAONA JAMII YA WANAUME MASHOGA KIBAO MBELENI KATIKA TZ, NATABIRI AFRICA KUTAWALIWA TENA NA WAZUNGU, UKOLONI, TUFANYAJE KUISHAURI SERIKALI JUU YA HILI WADAU.
 
sasa bila kuwa na waathirika wengi watapataje wateja wa ARV's..?
ARV's is a big deal all over the world
shtukeni oohoooo...!!
 
We must stop ushoga Tanzania kwa nguvu zote hata kama watanzania tuna mawazo tofaut. Hakuna haja ya kuwa taifa la shetan
 
Hii itakua kwa hisani ya watu wa marekani maana wanatumia nguvu nyingi sana kufanya ushoga uonekane ni kitu cha kawaida kwenye jamii.
Kwa wale wapenz wa series especially zinazotengenezwa marekane lazima ndan kuna scene ya ushoga, why? Hawa watu wanataka hii ishu ionekane ni kitu cha kawaida kwenye jamii.
Shenz sana
 
Back
Top Bottom