Huu mgao wa umeme kanda ya kaskazini utaisha lini???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu mgao wa umeme kanda ya kaskazini utaisha lini????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 6, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  WanaJF!! Hapa Arusha, Tangu saa 8:30am ya asubuhi ha2kuwa na umeme line hii ya Sakina mpaka saa 6:55pm ndiyo unarudishwa. Sasa mi najiuliza shida ni nini hashwa? Mwenye chanzo anijuze wajamen! Excuse for that!!
   
 2. A

  AridityIndex Senior Member

  #2
  May 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa nini mnaendelea kukaa kwenye ukanda wenye shida hamieni ukanda wa kusini mikoa ya Lindi na Mtwara kuna umeme wa uhakika wa gesi haukatiki hata siku moja.
   
 3. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,754
  Trophy Points: 280
  mpaka muwalipe dowans alaaa!!! visa ndo vitaisha
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jamani!! Kwa hali hii ya mpaka ilipwe Dowans ndiyo mgao uishe hakika ni mateso ya kimya kimya! Ila hili litabidi tuangalieni upya wajamen. Mmmm!!
   
Loading...