Huu mfumuko wa bei unaoendelea nchini utaliangamiza Taifa kiuchumi na kiusalama

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
Kwa sasa kila kitu kimepanda sana. Hali ya maisha inazidi kuwa mbaya. Baada ya mwaka mmoja, kama hali itaendelea kuwa hivi, uchumi wetu utaanguka.

Hali mbaya ya kiusalama inayochochewa na uchumi ulioanguka kutokana na mfumuko wa bei itakuwa dhahiri.

Serikali na Taasisi zake, kwa bahati mbaya sana, wameshindwa kudhibiti hali hii.
 
Hali ni mbaya kweli Yani wasomi wote tulionao huko serikalini ila bado tuuu Mambo ni hovyo hovyo,labda wao wanalipwa na Kodi zetu ndo maana hawaoni,hakuna unafuu hata kidogo ndo maana watu Sasa hivi wako busy na kupiga dili tu ilmradi mkono uende kinywani soon tu tutakuwa Kama pirates wa nchi kavu...WAIT AND SEE.
 
Tuna wasomi kweli wa kuaminika au tuna wenye vyeti vya wa somi???
 
Dah bei ya bati toka 16000 mpk 25000k yule mbunge zuzu aliyesema hataki nyumba za nyasi nchi hii atoe neno
..

Vijana ambao hamjajenga jiandaeni kulipa pango ya maisha tu
Dah! Aisee vifaa vya ujenzi vimepanda bei ghafla mpaka inaogopesha! Mbaya zaidi hakuna cha Rais, Waziri Mkuu, au Waziri mwenye dhamana aliye jitokeza mpaka sasa kutolea tamko.

Hili jambo linasikitisha na kuhuzunisha sana.
 
Naeudia acha tukamuliwe tu maumivu yakizidi wananchi tutajua Cha kufanya
 
hali ni mbaya sana....au ndo UCHUMI WA KATI unakomaa.......hivi tunalo bunge kweli...???? au ndo tuko bize na wachafua miji (chinga's)????
 
Back
Top Bottom