Nokchuno
Senior Member
- Jun 25, 2016
- 101
- 94
Hatuna namna ndugu wafanyakazi wenzangu kwani sasa ni bora Mara 75 (numbers don't lie) tungeachwa tulipe PAYE ya %13 kuliko Leo hii kukatwa VAT 18%( numbers don't lie)
Tumezungukwa kisiasa kale kamshahara sasa kama ni PAYE ni sawa na kurudishwa kwenye %21 ( numbers don't lie) ya PAYE, ukitoa Pesa, ukituma pesa (vitu ambayo haviepukiki kwa mfanyakazi) utakatwa %18 kodi ya serikali, serikali ya pombe.
Kuna Vila.za wanasema hizo garama zitagaramiwa na mabenki na makampuni ya simu, wengi ni makada wa ccm, niwaulize swali. "Umepanga fremu unafanya biashara ya sukari,unauza kilo 2300, unalipia fremu laki moja, mwenye fremu akakupandishia bei ya fremu,ikafika laki mbili, na wewe faida yako ni elfu 50 kwa mwezi ukishalipa pango, kama hautaongeza bei ya sukari, utaendelea na bihashara????
Tumezungukwa wafanyakazi, na hii ndo inaitwa namba.