Huu mchezo unaitwa 'mzungukeni'. Kupunguza PAYE na kuongeza VAT

Nokchuno

Nokchuno

Senior Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
101
Likes
94
Points
45
Age
47
Nokchuno

Nokchuno

Senior Member
Joined Jun 25, 2016
101 94 45
Hatuna namna ndugu wafanyakazi wenzangu kwani sasa ni bora Mara 75 (numbers don't lie) tungeachwa tulipe PAYE ya %13 kuliko Leo hii kukatwa VAT 18%( numbers don't lie)

Tumezungukwa kisiasa kale kamshahara sasa kama ni PAYE ni sawa na kurudishwa kwenye %21 ( numbers don't lie) ya PAYE, ukitoa Pesa, ukituma pesa (vitu ambayo haviepukiki kwa mfanyakazi) utakatwa %18 kodi ya serikali, serikali ya pombe.

Kuna Vila.za wanasema hizo garama zitagaramiwa na mabenki na makampuni ya simu, wengi ni makada wa ccm, niwaulize swali. "Umepanga fremu unafanya biashara ya sukari,unauza kilo 2300, unalipia fremu laki moja, mwenye fremu akakupandishia bei ya fremu,ikafika laki mbili, na wewe faida yako ni elfu 50 kwa mwezi ukishalipa pango, kama hautaongeza bei ya sukari, utaendelea na bihashara????

Tumezungukwa wafanyakazi, na hii ndo inaitwa namba.
 
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Messages
2,386
Likes
5,505
Points
280
lost id

lost id

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2014
2,386 5,505 280
Inaitwa P.A.Y.W. pay as you wethdraw.

Sijawahi kuona mshahara unakatwa kodi mara mbili. Uko hapa hapa bongo unakatwa kodi mara mbili(double taxation), je ukiwa huko nje itakuaje?

Mshahara/kipato kikatwe kodi mara mbili, sijawahi kuona. Ukilipwa mshahara ukatwe kodi, ukienda kuuchukua ukatwe kodi.

Acha tu tuisome namba.
 
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
247
Likes
155
Points
60
Nesto E Monduli

Nesto E Monduli

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
247 155 60
Hatuna namna ndugu wafanyakazi wenzangu kwani sasa ni bora Mara 75 (numbers don't lie) tungeachwa tulipe PAYE ya %13 kuliko Leo hii kukatwa VAT 18%( numbers don't lie)

Tumezungukwa kisiasa kale kamshahara sasa kama ni PAYE ni sawa na kurudishwa kwenye %21 ( numbers don't lie) ya PAYE, ukitoa Pesa, ukituma pesa (vitu ambayo haviepukiki kwa mfanyakazi) utakatwa %18 kodi ya serikali, serikali ya pombe.

Kuna Vila.za wanasema hizo garama zitagaramiwa na mabenki na makampuni ya simu, wengi ni makada wa ccm, niwaulize swali. "Umepanga fremu unafanya biashara ya sukari,unauza kilo 2300, unalipia fremu laki moja, mwenye fremu akakupandishia bei ya fremu,ikafika laki mbili, na wewe faida yako ni elfu 50 kwa mwezi ukishalipa pango, kama hautaongeza bei ya sukari, utaendelea na bihashara????

Tumezungukwa wafanyakazi, na hii ndo inaitwa namba.
Shikamoo kaka...You made my day!!!
 
Nokchuno

Nokchuno

Senior Member
Joined
Jun 25, 2016
Messages
101
Likes
94
Points
45
Age
47
Nokchuno

Nokchuno

Senior Member
Joined Jun 25, 2016
101 94 45
Inaitwa P.A.Y.W. pay as you wethdraw.

Sijawahi kuona mshahara unakatwa kodi mara mbili. Uko hapa hapa bongo unakatwa kodi mara mbili(double taxation), je ukiwa huko nje itakuaje?

Mshahara/kipato kikatwe kodi mara mbili, sijawahi kuona. Ukilipwa mshahara ukatwe kodi, ukienda kuuchukua ukatwe kodi.

Acha tu tuisome namba.
Siyo mara mbili mkuu, ni mara nyingi sana kutegemea unavyokwenda dukani, na unavyofanya miamala mbalimbali pamoja na matumizi. Ukiwasha njiti ya kiberiti na kiberiti umenunua sh 100 na 100 imetoka mshaharani ujue 60 ni vat, sasa 60 gawa kwa njiti 40. Utagundua kila njiti umelipia vat kiasi gani.
Sasa kodi ni muhimu ila kwanini watuzungukee??
 
Forum statistics

Threads 1,235,781
Members 474,742
Posts 29,235,239