GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Zamani sisi tunakua kulikuwa na michezo mingi sana ya kutuunganisha na wenzetu na kutujenga pia. Watoto wa miaka ya 2000s kuja juu wamekuwa wakikosa mambo mengi na hasa ujanja na ukakamavu.
Kombolela. Ulikuwa mchezo wenye mafunzo sana kwetu.ulitufundisha kujua namna ya kujificha usipatwe na shida na pia kujua namna ya kutafuta mgu wa kumpatia shida zao.
Nakumbuka siku moja nlijificha na mtoto mmoja mzuri sana pale kitaa alikuwa akiitwa wema.kiumri alituzidi watoto wengi pale kitaa.ila alikuwa mzuri na tunapambana sana kumpata.
Dumu lilibutuliwa watu tukasambaratika. Hamad nmeingia chimbo flani na wema yupo huko.saa sita hiyo mchana.kumcheki hivi kachuchumaa chupi inaonekana na sehemu yake imetuna.
Daah...nlishtuka kwa kweli.nikachuchumaa mbele yake nimekodoa macho kuelekea kwake...akagundua akabana miguu.hapo ndo alikosea kumbe kuna majani yana mchwa...yule mchwa alikuwa anapunga upepo sehemu ya ndani ya paja.alivyobanwa na mapaja naye kwa mshtuko akamdunga sindano wema.
Wema alitaka piga kelele.nliruka kumziba mdomo akanionesha kwenye mapaja nikamtoa yule mchwa.nikachukua nafasi hiyo kumkumbatia.akatulia...nikimkuna sehemu iliyoumwa.akalainika.basi tukasogea kimya kimya tukashuka bondeni kwenye jumba bovu.
Huko tukakumbatiana mpaka tukapitiwa na usingizi. Wananzengo walitutafuta kwanzia saa sita mpaka jioni kimya.wakatawanyika kwenda makwao.sisi tunashtuka saa kumi na moja jioni.tulipotoka tukakuta wananzengo walishatanyika zamani sana.
Usiku ule nlilala nikitabasamu kwa tendo la kumkumbatia wema mchana wote.kesho yake jamaa waliniona mimi noma sana...kuwa nmemla wema.maskini hata sikuwa najua wapi pa kuingiza mashine.tulilala tu tumekumbatiana.
Kombolela ilinifundisha uvumilivu katika maisha.kuwa unaweza jificha huko huko kwa uvumilivu wako ukakuta mbivu lakini ukazembea kutumia fursa.
Leo hii nikipata fursa nawekeza bila kusita maana golden chance never comes twice. Pia katika maisha unaweza mtafuta mtu ukamtwisha maisha yako then wewe ukakimbia kujificha. Usikubali kubaki na shida zako...