Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Apr 24, 2018 #1 Hivi huyu jamaa ni mbunifu ama uchonganishi au ndo usanii wenyewe!
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,958 6,075 Apr 24, 2018 #2 Jamaa ana kipaji cha uchekeshaji. Tusisubiri afe ndo tumkubali.
The Icebreaker JF-Expert Member Feb 11, 2018 18,141 51,013 Apr 24, 2018 #5 Amekosea kidogo coz Kiba hakutizama pembeni.
Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Apr 24, 2018 Thread starter #6 Huyu akili yake inamtosha mwenyewe tu
JoJiPoJi JF-Expert Member Aug 8, 2009 2,907 3,261 Apr 24, 2018 #7 Zile Mil-ion MIA Nyingi Zimeishia Wapi
Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Apr 24, 2018 Thread starter #8 JoJiPoJi said: Zile Mil-ion MIA Nyingi Zimeishia Wapi Click to expand... Zimetafunywa na wadada. Unambiwa walikuwa hawachezi mbali naye!
JoJiPoJi said: Zile Mil-ion MIA Nyingi Zimeishia Wapi Click to expand... Zimetafunywa na wadada. Unambiwa walikuwa hawachezi mbali naye!
Jr. Gong Mira JF-Expert Member Dec 14, 2017 1,279 1,295 Apr 24, 2018 #9 Ndo usanii wa bongo hafanyi mpk itokee ishu tu
jebs2002 JF-Expert Member Sep 3, 2008 8,814 7,589 Apr 24, 2018 #10 Ghazwat said: Zimetafunywa na wadada. Unambiwa walikuwa hawachezi mbali naye! Click to expand... Achana na Dar, katika sehemu ukitaka hela yako iyeyuke mapema, ama hela zakuwasha na wataka watu wazikune ni Dar, vijana wa mikoani mmesikia?!
Ghazwat said: Zimetafunywa na wadada. Unambiwa walikuwa hawachezi mbali naye! Click to expand... Achana na Dar, katika sehemu ukitaka hela yako iyeyuke mapema, ama hela zakuwasha na wataka watu wazikune ni Dar, vijana wa mikoani mmesikia?!
Ghazwat JF-Expert Member Oct 4, 2015 23,718 66,262 Apr 24, 2018 Thread starter #11 Miraj Mussa said: Ndo usanii wa bongo hafanyi mpk itokee ishu tu Click to expand... Wanaenda na matukio. Hawawezi kuumiza kichwa katika kubuni
Miraj Mussa said: Ndo usanii wa bongo hafanyi mpk itokee ishu tu Click to expand... Wanaenda na matukio. Hawawezi kuumiza kichwa katika kubuni
kivyako JF-Expert Member Feb 2, 2012 14,341 12,045 Apr 24, 2018 #13 Bado ana hangover ya zile millioni mia!
nyakandula JF-Expert Member Jul 26, 2016 1,198 1,595 Apr 24, 2018 #14 Tatzo lake moja tu sio creative anasbr had matukio yatokee yeye ayafanyie jokes..
tamuuuuu JF-Expert Member Mar 10, 2014 19,945 25,168 Apr 24, 2018 #16 Huyo aliyeuvaa uhusika wa Diamond ni Jirani yangu huko green city,sema this time yupo clouds,kapambana sn chalii Tei. Yoooooo!!!
Huyo aliyeuvaa uhusika wa Diamond ni Jirani yangu huko green city,sema this time yupo clouds,kapambana sn chalii Tei. Yoooooo!!!