Huu hapa wimbo mpya wa Langa alio washirikisha Julio na TID

privacy

JF-Expert Member
Apr 20, 2014
1,446
1,273
Langa alifanikiwa kuumalizia wimbo wake ya mwisho ambao zaidi ulikuwa ukiyalenga/ kuongelea maisha yake kiujumla.

Siku akiifanya ngoma hiyo ndio siku aliyokutana na Julio Batalia aliyekuwa mshiriki wa BBA 2012 na kufikia hatua ya kumaliza kipande chao na kumsubiria TID ambaye mwaka 2013 siku hiyo alikuwa Uingereza
na ilikuwa ombi lake la mwisho kwamba kwenye
ngoma yake hiyo alikuwa anataka kumsikia
mnyama TID angefanya nini kwenye chorus.
Pata ngoma hii (kwenye link mwisho wa post hii) ambayo kila ukiisikiliza utagundua
kuwa Langa alikuwa anaongea na mashabiki

Huu hapa wimbo mpya wa Langa alio washirikisha Julio na TID - NOLNIZ



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom