HUU HAPA UKWELI KUHUSU MUZIKI TOKA MWAKA 2020 UANZE

Bukondamoyo

JF-Expert Member
May 11, 2017
458
487
Habari za jioni wapenzi wote wa burudani na wana jf kwa ujumla..
Nitaenda moja kwa moja kwenye mada kama heading inavo state
Toka mwaka uanze wasanii mbalimbali hapa nchini wametoa nyimbo mbalimbali hii yote ni kwajili ya:
-kuburudisha na
- kutuelimisha kama jamii

BASI
zifuatazo ni nyimbo zilizopata umaarufu toka mwaka 2020 uanze ....nitaanza kutaja nyimbo maarufu zaidi zikifuatiwa na zingine katika mtiririko wa descending order kama ifuatavyo;

1.Diamond platmumz - jeje.
2.Ommy dimpoz ft Nandy - Kata.
3.Rayvanny - te amo.
4.Darassa ft sho madjozi - I like it.
5.Tanasha dona - gere.


Nawe mdau unaweza ukakamilisha ili zifike kumi angalau,ie,top ten... ila hizo ngoma hapo juu ndo maarufu zaidi kuwahi kutokea toka mwaka uanze...
Karibu kwa maoni pia ongezea zingine unazojua wewe ni Kali pia.
Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom