Huu hapa ujumbe Muruwa wa Baba Askofu Shoo kwa Rais Samia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,590
217,981
Itakumbukwa kwamba Mh Rais yuko Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya kikazi , Ambapo Mh Rais amezindua ujenzi wa jengo litakalogharimu tsh Bil 4 la hospitali ya KCMC ambalo litatumika kwa ajili ya tiba ya saratani .

Mhe. Rais Samia anaendelea kuwaponya watanzania wote kwa kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mtu bila kujali nani ni nani, mfano mzuri ni kesi ya Sabaya amefungwa miaka 30 jela, vivyo hivyo pia Mwenye tuhuma za Ugaidi kwa lengo la kuvuruga Amani ya nchi akikutwa na hatia lazima afungwe.
Huo ndio utawala wa sheria ambao Rais Samia amedhamiria kuhakikisha unatendeka chini ya utawala wake.

Rais Samia antuponya watanzania kwa kuendelea kuwaletea huduma za kijamii watanzania wa vijijini,
mfano; huduma za afya, ujenzi wa zahanati, miradi ya maji, ujenzi wa madarasa, barabara, umeme vijijini n.k, hayo yote yanafanywa na Serikali ya Rais Samia kwa lengo la kuwaponya watanzania wote.
Ahsante sana Baba Askofu kwa kuendelea kumkumbusha Rais wetu mpendwa.
Hongera nyingi kwa Rais wetu mpendwa.
 
Kama ndo yule ambaye alipewa viatu na hayati Magufuli akampe mkewe hamna jipya!!

Itakuwa mwendelezo wa unafiki tu, viongozi wetu wa dini baadhi yao wana mambo ya ajabu sana sijui huwa wanajipendekeza kwa wanasiasa ili iweje?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna mawili, either hujaisikiliza hiyo clip au hujui maana ya neno kujipendekeza
 
Mhe. Rais Samia anaendelea kuwaponya watanzania wote kwa kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mtu bila kujali nani ni nani, mfano mzuri ni kesi ya Sabaya amefungwa miaka 30 jela, vivyo hivyo pia Mwenye tuhuma za Ugaidi kwa lengo la kuvuruga Amani ya nchi akikutwa na hatia lazima afungwe.
Huo ndio utawala wa sheria ambao Rais Samia amedhamiria kuhakikisha unatendeka chini ya utawala wake.

Rais Samia antuponya watanzania kwa kuendelea kuwaletea huduma za kijamii watanzania wa vijijini,
mfano; huduma za afya, ujenzi wa zahanati, miradi ya maji, ujenzi wa madarasa, barabara, umeme vijijini n.k, hayo yote yanafanywa na Serikali ya Rais Samia kwa lengo la kuwaponya watanzania wote.
Ahsante sana Baba Askofu kwa kuendelea kumkumbusha Rais wetu mpendwa.
Hongera nyingi kwa Rais wetu mpendwa.
Hebu rudia tena kusikiliza kisha urudi upya. Maji yamesababishaje majeraha Kwa Watz?? Mama kapewa ushauri tu. Ni hiari yake kuupokea na kuufanyia kazi au ashupaze Shingo kama Bw Yule. Mwisho shingo yake Ika...........
 
Mhe. Rais Samia anaendelea kuwaponya watanzania wote kwa kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mtu bila kujali nani ni nani, mfano mzuri ni kesi ya Sabaya amefungwa miaka 30 jela, vivyo hivyo pia Mwenye tuhuma za Ugaidi kwa lengo la kuvuruga Amani ya nchi akikutwa na hatia lazima afungwe.
Huo ndio utawala wa sheria ambao Rais Samia amedhamiria kuhakikisha unatendeka chini ya utawala wake.

Rais Samia antuponya watanzania kwa kuendelea kuwaletea huduma za kijamii watanzania wa vijijini,
mfano; huduma za afya, ujenzi wa zahanati, miradi ya maji, ujenzi wa madarasa, barabara, umeme vijijini n.k, hayo yote yanafanywa na Serikali ya Rais Samia kwa lengo la kuwaponya watanzania wote.
Ahsante sana Baba Askofu kwa kuendelea kumkumbusha Rais wetu mpendwa.
Hongera nyingi kwa Rais wetu mpendwa.
Comment ya DHAHABU 😍
 
Hahahaha nimecheka Sana aisee...
Mjinga sana huyu Askofu. Kanisa lake la KKKT limejaa migogoro ya tamaa ya madaraka na uroho wa wizi wa mali ya Kanisa yeye huyu mjinga anayejiita Askofu yupo. Kwanza wenye akili tunajua alivyopata Uskofu Mkuu kwa njia CHAFU zaidi ya wanasiasa wanavyopata madaraka. Na kama yeye au wafuasi wake wana ubavu, waseme tuyaweke hadharani machafu ya huyu Askofu Shoo halafu tuone kama atakuwa na ubavu wa kusimama hata kwenye njia ya kuelekea Kanisani!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom