Huu hapa ujumbe Muruwa wa Baba Askofu Shoo kwa Rais Samia

Endelea kutukana watu wa Mungu ili upigwe laana
Nyinyi ndiyo mnaosema mungu yupo ila shetani hayupo .....maana kwenu kila ajiinuaye kwa jina la mungu ni mtu wa mungu.
Hii ndiyo tofauti yenu nyinyi na mungu wa kweli
 
Mhe. Rais Samia anaendelea kuwaponya watanzania wote kwa kuhakikisha haki inatendeka kwa kila mtu bila kujali nani ni nani, mfano mzuri ni kesi ya Sabaya amefungwa miaka 30 jela, vivyo hivyo pia Mwenye tuhuma za Ugaidi kwa lengo la kuvuruga Amani ya nchi akikutwa na hatia lazima afungwe.
Huo ndio utawala wa sheria ambao Rais Samia amedhamiria kuhakikisha unatendeka chini ya utawala wake.

Rais Samia antuponya watanzania kwa kuendelea kuwaletea huduma za kijamii watanzania wa vijijini,
mfano; huduma za afya, ujenzi wa zahanati, miradi ya maji, ujenzi wa madarasa, barabara, umeme vijijini n.k, hayo yote yanafanywa na Serikali ya Rais Samia kwa lengo la kuwaponya watanzania wote.
Ahsante sana Baba Askofu kwa kuendelea kumkumbusha Rais wetu mpendwa.
Hongera nyingi kwa Rais wetu mpendwa.
Singasinga na Rugema.. wameachiwa hao ndiyo waharifu no 1 tz ,sasa huyo mama sa100 ndiyo haki gani anafuata sisi tunajua huu mchezo anaocheza na mkwere na tutaushinda mchana kweupe
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom