Hutokuwa kama malaika mbinguni

MangiMeli_2

Senior Member
Feb 4, 2019
126
72
“Nilikuwa na miaka 7 au 8 kipindi hicho. Nilikuwa rafiki wa mchungaji. Siku moja mchungaji akanambia njoo ukae nami tusome pamoja. Kisha tulivyokaa pamoja, mara yakafuata mabusu…kisha yakafuata matendo mengine ya kimwili…mambo yakazidi kuchanganya…Niliogopa kuwaeleza wazazi wangu (matukio hayo) kwa kuwa mchungaji alinambia nikiwaeleza wazazi wangu sitokuwa kama malaika ktk ufalme wa mbinguni”

“Kila uingiapo kanisani lazima niseme Kosa ni langu miekosa ni langu miekosa ni langu mie peke. Hapana, kosa halikuwa langu!

“Utoto sasa umeniondoka. Kama kanisa halitozungumza lugha yangu, siwezi kuendelea kuwa muumini. (Viongozo) wanasimama na kuongea lugha ya mamia ya miaka iliyopita. Lazima wasikilize hisia za watu, wasikilize kile watu wanachotaka. Wanapaswa waongee lugha ya sasa (kutolinda vitendo viovu vya unyanyasaji wa kingono)”

Huyo ni Brigitte, a survivor of child sex abuse by a chaplain, explains why she is ready to speak now

Video yake hii hapa toka BBC
 
kwa hiyo kashaliwa daah...,

ila swala la mtu mzima kupata tamaa za kimapenzi/kingono kwa mtoto mdogo huwa naona ni ushetani wa hali ya juu. Yani sijui inakuwaje, mtu unaanzaje anzaje kupata hisia kwa mtoto, how? yaani how? mimi bado sielewe hawa watu, ni kwamba hajui kutongoza, ana matatizo ya akili, au ni nini hasa.

Anyway, hivi ule mchakato wa hukumu ya kunyongwa uliishia wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom