Hutakiwi kujua habari hizi kama unajielewa kazi iendelee

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,798
11,881
Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo.

Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe majaribio haya? Hii ni laana ama ni kitu gani?
Toa mawazo yako kwa njia ijengayo.

Wataalamu wa taaluma ya Afya Marekani, wagoma kuchanjwa chanjo za korona .

Wataalmu wa kibongo wanasemaje labda kwa utaalamu wao?
 
Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo.

Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe majaribio haya? Hii ni laana ama ni kitu gani?
Toa mawazo yako kwa njia ijengayo.

Wapinga chanjo na wapotoshaji katika ubora wake,kachanje acha porojo.
 
Kwani muheshimiwa Mbowe anasemaje? Maana na yeye ni mmoja wa watu waliowahi kuhimiza kuwa watanzania wachanjwe kwa usalama wa afya zao, ilhali wale waliopuuza kuchanjwa mmoja wao akiwa kaka yake mwenyewe walitangulia mbele ya haki kwa ugonjwa ule ule wa tatizo la kupumua.
 
Unao uhuru wa kujichagulia ila sii kuwa chagulia au kuwapotosha wengine.
 
Huhitaji mbowe. Kuna habari mpya sana duniani kinachoendelea.

Kwani muheshimiwa Mbowe anasemaje? Maana na yeye ni mmoja wa watu waliowahi kuhimiza kuwa watanzania wachanjwe kwa usalama wa afya zao, ilhali wale waliopuuza kuchanjwa mmoja wao akiwa kaka yake mwenyewe walitangulia mbele ya haki kwa ugonjwa ule ule wa tatizo la kupumua.
 
Ww suala la kuchanjwa ni hiari ya mtu mwenyewe Kwa hiyo ni maamuzi yako uchanjwe au usichanjwe ila siku likikufika wewe au wapendwa wako ndio utajua umuhimu wa chanjo
 
Back
Top Bottom