Hussen Msomali: Untouchable Mafia

Inawezekana wito haukufuata taratibu ndio sababu TRA ikabidi waende wao

Kuna watu wanajua sheria na wakati mwingine unaweza ukawaona jeuri kumbe wanajua namna ya kucheza na loopholes za kisheria
Usiropoke ndugu. Huyu jamaa aliitwa TRA na aligoma. Matokeo yake Meneja TRA kinondoni alimfuata ofisini kwake
 
Ukiwa msomali halafu unajiita Mafia na bado serekali inakuangalia tuu...ujue kuna shida sehem
Nitashangaa kama mijitu ya Uhamiaji itakuwa kimya na jambo hili, inatakiwa aitwe ahojiwe uraia wake vizuri, kisha watu wa usalama wachunguze vizuri huenda anafadhili al shabab
 
Kipindi niko TRA nilikwenda kudai Kodi sehemu. Kufika nikamkuta mkurugenzi tukasalimiana halafu nikamwambia kilichonipeleka.
Akaniambia kwa kujiamini asilimia Mia na ushee.
"Kawaambie mabosi wako wwaliokutuma kwamba nilitoa hela nyingi sana wakati wa kampeni"
Niliowaambia mabosi niliona nao walianza kupanik na kuanza kujiona Mimi ndio nilijipendekeza kwenda pale.
Wakishakula pesa yako utawafanya unavyotaka. Hata mskitini au kanisani
Hii inaitwa Quid pro Quo.. nothing goes for nothing or scrub my back i scrub yours...
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
Alipigwa deni kubwa sana na TRA, wakaja NHIF wakapiga tena deni kubwa kwa ajiri ya ujinga wake.
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
Basi huyu hafai wamkamate haraka sana na kutaifishwa..
Pole gari lako kuangukiwa ma ukuta. Hayo ya mafia sijui nini yaache kwanza shughulikia gari lako lirudi road
Kumbe nawe umeona eeh,,huyu jamaa anapiga majungu hapa
 
Pole yao sana, ila nyosha maelezo...
Hapa nadhani atatumia ile kigezo cha kusema Park at your own Risk...

Cc: mahondaw
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
Acheni 'Upumbavu' wenu wa kutaka Kumchonganisha 'Rais' na hawa 'Wahuni' ili ionekane kama vile Yeye ndiyo anamlea. Kumbuka 'Rais' ni Taasisi.
 
Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye

Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja. Ukuta umeanguka umeharibu Mali za Watu. Jamaa ana jehuri sana na amegoma halipi na hakuna wanaloweza kumfanya.

Hili jengo la Hospital litakuja kuuwa watu wengi sana. Tunaomba mamlaka husika waingilie kati. Maana huyu msomali inasemekana hagusiki watu ambao mali zao ziliharibiwa amewatumia watu kuwatisha akiwaambiwa wanyamaze lasivyoatawashugulikia maana yeye ana deal na Rais tu.

View attachment 1642548
View attachment 1642555
...Kwa Mkuu, Watanzania nyinyi nyote halo mmeshindwa kukusanyana na kumfanyia Umafia msomali Huyo na mnaishia kuja kulalamika tu buku JF??
Jiongezeni, Nchi yenu hii??
 
Majungu, yeye ndio anaejenga au ni contractor? Na je kama ni mafundi wamempiga kwa kujenga chini ya viwango?

Hacha majungu Mkuu kama man mabif yenu, sio sawa kumchafua

kama ni Yule Hussein msomali anaejenga nyumba na kuuza unamsingizia kuna kitu hapa

I know the guy Ana hofu ya mungu vibaya mnooooo na huruma pia na wala Hana majigambo ya kishamba ya kusema Nina deal na raisi na Pia sio mafya kama unavyosema

I bought one of his house in Kawe
 
Nyerere alisema mtanzania akiijiita mzawa ni kaburu mweusi.mzawa sio lazima uwe mdengereko au mkurya. mzawa ni mtanzania aliyezaliwa tanzania. Awe mwarabu au muhindi au msomali au wewe wote ni wazawa ila mnapenda kuwanyanyasa hawa wengine kwa rangi zao nenda kenya hakuna ubaguzi wasomali wakuu wa idara kama polisi na jeshi pia waarabu mawaziri kwa mfano waziri wa utalii kenya ni mwarabu Ila hapa tanzania ubaguzi ni mkubwa kuliko
ungeweka quote kuonyesha mwisho wa kauli ya nyerere au yote ni kauli yake?
 
Majungu, yeye ndio anaejenga au ni contractor? Na je kama ni mafundi wamempiga kwa kujenga chini ya viwango?

Hacha majungu Mkuu kama man mabif yenu, sio sawa kumchafua

kama ni Yule Hussein msomali anaejenga nyumba na kuuza unamsingizia kuna kitu hapa

I know the guy Ana hofu ya mungu vibaya mnooooo na huruma pia na wala Hana majigambo ya kishamba ya kusema Nina deal na raisi na Pia sio mafya kama unavyosema

I bought one of his house in Kawe
Maybe you are one of his henchmen. Look at the pictures. What did he do to the victims
 
Nyerere alisema mtanzania akiijiita mzawa ni kaburu mweusi.mzawa sio lazima uwe mdengereko au mkurya. mzawa ni mtanzania aliyezaliwa tanzania. Awe mwarabu au muhindi au msomali au wewe wote ni wazawa ila mnapenda kuwanyanyasa hawa wengine kwa rangi zao nenda kenya hakuna ubaguzi wasomali wakuu wa idara kama polisi na jeshi pia waarabu mawaziri kwa mfano waziri wa utalii kenya ni mwarabu Ila hapa tanzania ubaguzi ni mkubwa kuliko
wewe tutolee uarabu wako, mlivyotutesa na kutubagua lakini bado unapata ujasiri wa kuongea upumbavu mbele yetu
 
awamu 5 chini ya Raisi Magufuli hakuna asie gusika, jpm kaifanya Tanzania kila mtu anamheshimu mwenzake tofautu na awamu zilizopita ,Kama huyo msomali hagusiki anajidanganya bure vyombo vya dola lichunguzeni hili tatizo ili haki itendeke
Umeongea ujinga gani? yaani kwenye Serikali yako watu wanaheshimiana halafu unasema wachunguze

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom